Song parody of
Usinikatae
by Dramaboi
Here's where you get creative! Use our cool song parody creator to make a totally new musical idea and lyrics for the Usinikatae song by Dramaboi.
Simply click on any word to get rhyming words suggestion to use instead of the original ones. You may also remove or alter entire lines if needed — when you're done save your work and share it with our community — have fun!
Mwenzako nakutaka
Sis maria yeh
Japo mwanzo nlikutaka
Ukanibaia mmh
Msela kwako nisha waka
Uliza dunia
Kama bad man nkikupata
Nitatulia
Follow mh anha
Baby follo me oh mmh anha
Nitakuwa loyal anha
Baby follow me oh anha
Vyote vile ambovyo navyotaka
We unavyo mh mmh ah ah ah
Sasa mbona mi nkikufata
Unaringa oh mh mmh mmmh
Wajua nkikupata sintokuacha eh (Kuacha eh)
Mi na wewe tuwe ka' mapacha eh (Pacha eh)
Usinipige judo makareti
Kama nkikufata naomba usinikatae
Katae (Katae)
Usinikatae (Katae)
Kama nkikufata usinikatae (Katae)
Katae (Katae)
Usinikatae (Katae)
Kama nkikufata usinikatae mmmh mmh
Nataka uniote ukilala yaya oh
Kwako mi nimeisha kuwa fala oh enhe
Kwanza nikicheki huo mguu uh
Homa nishapataga nafuu uh
Unanifanya mi nikae juu uh
Uuh uh uuh uh
Mi nataka kuwa (Eeh baba)
Ninae kujua (Eeh mama)
Sinto kuumiza (Eh dada)
Eeh sis maria oh nana
Vyote vile ambovyo navyotaka
We unavyo mh mmh ah ah ah
Sasa mbona mi nkikufata
Unaringa oh mh mmh mmmh
Wajua nkikupata sintokuacha eh (Kuacha eh)
Mi na wewe tuwe ka' mapacha eh (Pacha eh)
Usinipige judo makareti
Kama nkikufata naomba usinikatae
Katae (Katae)
Usinikatae (Katae)
Kama nkikufata usinikatae (Katae)
Katae (Katae)
Usinikatae (Katae)
Kama nkikufata usinikatae mmmh mmh
Uh uh uuuh
Uh uh uuuh
Uh uh mmmh mmmh mmh
Mwenzako nakutaka
Sis maria yeh
Japo mwanzo nlikutaka
Ukanibaia mmh
Msela kwako nisha waka
Uliza dunia
Kama bad man nkikupata
Nitatulia
Follow mh anha
Baby follo me oh mmh anha
Nitakuwa loyal anha
Baby follow me oh anha
Vyote vile ambovyo navyotaka
We unavyo mh mmh ah ah ah
Sasa mbona mi nkikufata
Unaringa oh mh mmh mmmh
Wajua nkikupata sintokuacha eh (Kuacha eh)
Mi na wewe tuwe ka' mapacha eh (Pacha eh)
Usinipige judo makareti
Kama nkikufata naomba usinikatae
Katae (Katae)
Usinikatae (Katae)
Kama nkikufata usinikatae (Katae)
Katae (Katae)
Usinikatae (Katae)
Kama nkikufata usinikatae mmmh mmh
Nataka uniote ukilala yaya oh
Kwako mi nimeisha kuwa fala oh enhe
Kwanza nikicheki huo mguu uh
Homa nishapataga nafuu uh
Unanifanya mi nikae juu uh
Uuh uh uuh uh
Mi nataka kuwa (Eeh baba)
Ninae kujua (Eeh mama)
Sinto kuumiza (Eh dada)
Eeh sis maria oh nana
Vyote vile ambovyo navyotaka
We unavyo mh mmh ah ah ah
Sasa mbona mi nkikufata
Unaringa oh mh mmh mmmh
Wajua nkikupata sintokuacha eh (Kuacha eh)
Mi na wewe tuwe ka' mapacha eh (Pacha eh)
Usinipige judo makareti
Kama nkikufata naomba usinikatae
Katae (Katae)
Usinikatae (Katae)
Kama nkikufata usinikatae (Katae)
Katae (Katae)
Usinikatae (Katae)
Kama nkikufata usinikatae mmmh mmh
Uh uh uuuh
Uh uh uuuh
Uh uh mmmh mmmh mmh