Song parody of

Sawa

by J Classic

Here's where you get creative! Use our cool song parody creator to make a totally new musical idea and lyrics for the Sawa song by J Classic.

Simply click on any word to get rhyming words suggestion to use instead of the original ones. You may also remove or alter entire lines if needed — when you're done save your work and share it with our community — have fun!

  • English (English)
  • Français (French)
  • Español (Spanish)

Nili sema asante ulipo ingia kwa maisha yangu Sikujuwa wewe ungekua mtesi wa moyo wangu Macho nili fumba nisione mwengine zaidi ya wewe Sikio nika ziba nisi skie mwengine zaidi ya wewe Nilikupa moyo moyo mama ahya wee Ukawa na uchoyo nyodo mama wee Zako skendo skendo sikua na neno, nilibaki bubu Ladha ya penzi lako sijuwi nasoma kwa vitabu, vitabuu Uka ni cheka cheka kwamba sina nyumba nili kulaza kwenye choo Tena uka bweka bweka bora unge nitema nili ku kaba kwenye koo Baby sawa ( moyo tulia kuna na vya watu ) Ahyaa ah ( maumivu yata pita niya muda tu ) Baby sawa ( moyo tulia, tulia moyo ) Ahyaa ah ( maumivu niache niache eh ) Uli nipa maumivu, maumivu moyo usha funga kurasa Ulijua nime zama kwa kina ila uka nitowa garasa Utamu ndio ladha ya mapenzi kwangu nili hisi ukakasi Nimeshindwa hizi mbio kwa penzi kwa hii kasi ya farasi Nilikupa moyo, moyo mama ahya wee Ukawa na uchoyo, nyodo mama wee Uka ni cheka, cheka kwamba sina nyumba nili kulaza kwenye choo Tena uka bweka bweka bora unge nitema nili ku kaba kwenye koo Baby sawa ( moyo tulia kuna na vya watu ) Ahyaa ah ( maumivu yata pita niya muda tu ) Baby sawa ( moyo tulia, tulia moyo ) Ahyaa ah ( maumivu niache niache eh ) Zime nishinda skendo,

Done creating your parody?

Don't keep it to yourself! Save it now so you can share it with the rest of the world!

Browse Lyrics.com

Quiz

Are you a music master?

»
Which DaBaby album has the following cover?
A Kirk
B Blame It on Baby
C Baby on Baby
D Baby Talk 5

Free, no signup required:

Add to Chrome

Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

Free, no signup required:

Add to Firefox

Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

J Classic tracks

On Radio Right Now

Loading...

Powered by OnRad.io


Think you know music? Test your MusicIQ here!