Swaga Balaa (feat. Patilla Rex)

K Kahuna

0 fans

K Kahuna


2:30
#1

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Aaah Huh
Sketch made it happen

Swa swa
Swaga Balaa,ulalalaa
Swaga Balaa,ulalalaa

Ey swa swa swa swa swa,swaga balaa
Ey swa swa swa swa swa,swaga balaa
Cheki izo kicks cheki izo clarks cheki izo Nike
Swaga Balaa
Cheki matimber jodo fosa buda ai
Swaga Balaa
Ey swa swa swa swa swa,swaga balaa
Ey swa swa swa swa swa,swaga balaa
Cheki izo kicks cheki izo clarks cheki izo Nike
Swaga Balaa
Cheki matimber jodo fosa buda ai
Swaga Balaa

Swaga balaa
Ni si tunamwagika izi mitaa
Luku ni ndechu si vile inafaa
Tukivaa ndege si si tunapaa
Shoegame ni mad mad mad
Si tunashine than Ayra Starr
Vaa luku safi na ulale njaa
Cheki malabel ady kwenye scarf,ai
Nimeshinda nkibuy luku manze sina ady das
Ile time si tulifika walitoka very fast
Unaeza tuita Tupac ju we have all eyes on us
West Coast modern drip lazma tupandishe class

Swa swa swa swa swa,swaga balaa
Ey swa swa swa swa swa,swaga balaa
Cheki izo kicks cheki izo clarks cheki izo Nike
Swaga Balaa
Cheki matimber jodo fosa buda ai
Swaga Balaa
Ey swa swa swa swa swa,swaga balaa
Ey swa swa swa swa swa,swaga balaa
Cheki izo kicks cheki izo clarks cheki izo Nike
Swaga Balaa
Cheki matimber jodo fosa buda ai
Swaga Balaa

Ey
Swaga balaa,ulalalaa
Cheki madrip,cheki mawatch
Swaga balaa,ulalalaa
Cheki madrip,cheki mawatch
Pamba ni moto ka pasi,pause kidogo tukule wanjapi
Drip inaattract punani,pongi ni safi ni ka ya mlami
Mchezo ya vumbi sitaki,ukinitafuta aki hunipati
Chini nadunga mambati
Sshh sshh
Napiga marashi
Rende ni rong,rende ni bomb
Washatambua mimi ndo the don
Wakilalisha natoanga form
Kam na warena nakam na ndom

Swa swa swa swa swa,swaga balaa
Ey swa swa swa swa swa,swaga balaa
Cheki izo kicks cheki izo clarks cheki izo Nike
Swaga Balaa
Cheki matimber jodo fosa buda ai
Swaga Balaa
Ey swa swa swa swa swa,swaga balaa
Ey swa swa swa swa swa,swaga balaa
Cheki izo kicks cheki izo clarks cheki izo Nike
Swaga Balaa
Cheki matimber jodo fosa buda ai
Swaga Balaa

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Written by: Kyalo Nzilu, Patilla Rex

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Swaga Balaa (feat. Patilla Rex) Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Swaga Balaa (feat. Patilla Rex) Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 24 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/10138434/K+Kahuna/Swaga+Balaa+%28feat.+Patilla+Rex%29>.

    Missing lyrics by K Kahuna?

    Know any other songs by K Kahuna? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    "All Out of Love" is a 1980 biggest hit single for which band?
    A The Hollies
    B Little River Band
    C Styx
    D Air Supply

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    K Kahuna tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!