Anza Na Mimi

Eve Bahati

0 fans

Eve Bahati


7:31

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Anza na mimi bwana
Anza na mm yesu
Ili ninapo kushuhudia
Wakuamini bwana
Anza na mm Bwana
Anza na mm Yesu
Ili ninapo kushuhudia
Wakuamini bwana
Ninawaambia Yesu ainua
Wakiniangalia eeeh wanaona vingine
Ninawaambia Yesu abariki Wakiniangalia eeeh wanaona vingine
Iwepo ainua Huyu Mungu wake
Na bado yeye hajamtendea
Iwepo abariki Huyu Mungu wake
Na bado yeye hajamtendea
Tumwamini vipi
Tumwamini vipi Mungu wake
Na bado yeye hajamtendea
Tumwamini vipi
Tumwamini vipi Mungu wake
Na bado yeye hajamtendea
Anza na mimi bwana
Anza na mm yesu
Ili ninapo kushuhudia
Wakuamini bwana
Anza na mm Bwana
Anza na mm Yesu
Ili ninapo kushuhudia
Wakuamini bwana
Najua umenifunza subira
Na Tena ukanifukuza uvumilivu
Lakini bwana yamekuwa mengi mno
Najua umenifunza subira
Na Tena ukanifukuza uvumilivu
Lakini bwana yamekuwa mengi mno
Iwepo ainua Huyu Mungu wake
Na bado yeye hajamtendea
Iwepo abariki Huyu Mungu wake
Na bado yeye hajamtendea
Tumwamini vipi
Tumwamini vipi Mungu wake
Na bado yeye hajamtendea
Tumwamini vipi
Tumwamini vipi Mungu wake
Na bado yeye hajamtendea
Anza na mimi bwana
Anza na mm yesu
Ili ninapo kushuhudia
Wakuamini bwana
Anza na mm Bwana
Anza na mm Yesu
Ili ninapo kushuhudia
Wakuamini bwana
Anza na mm Jehovah
Jehovah tembea na mm mfalme
Kalaho anahasa yuyu
Mulungu wa kwakwe
Yeyeye na bado yeye kadza muhendera
Kalaho ananula yuyu mulungu wa kwakwe yeye
Na bado yeyee kadzamuhendera Humwaminidze eeh humwaminidze Mulungu wa kwakwe na bado yeee Kadza muhendera
Humwaminidze eeh humwaminidze Mulungu wa kwakwe na bado yeee Kadza muhendera
Kalaho anahasa yuyu mulungu wa Kwakwe
Yeyeye na bado yeye kadza muhendera
Humwaminidze eeh humwaminidze Mulungu wa kwakwe na bado yeee Kadza muhendera
Humwaminidze eeh humwaminidze Mulungu wa kwakwe na bado yeee Kadza muhendera
Anza na mimi bwana
Anza na mm yesu
Ili ninapo kushuhudia
Wakuamini bwana
Anza na mm Bwana
Anza na mm Yesu
Ili ninapo kushuhudia
Wakuamini bwana
Anza na mimi bwana
Anza na mm yesu
Ili ninapo kushuhudia
Wakuamini bwana
Anza na mm
Anza na mm bwana
Ni wewe tu
Sina mwingine
Sina mulungu mwingine ila uwe baba

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Written by: Eve Yaa

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Anza Na Mimi Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Anza Na Mimi Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 7 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/10398952/Eve+Bahati/Anza+Na+Mimi>.

    Missing lyrics by Eve Bahati?

    Know any other songs by Eve Bahati? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    "Oh, think twice, 'cause it's another day for you and me ____________".
    A to sacrifice
    B in paradise
    C go exercise
    D playing dice

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Eve Bahati tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!