Tunaliinua Jina Lako (Live)

One To Another

0 fans

One To Another


5:38

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Tunaliinua jina lako Bwana
Tunakupa utukufu
Tunalitangaza mataifa nayajue
Wewe ni Bwana wa mabwana

Tunaliinua jina lako Bwana
Tunakupa utukufu
Tunalitangaza mataifa nayajue
Wewe ni Bwana wa mabwana

Tunaliinua jina lako Bwana
Tunakupa utukufu
Tunalitangaza mataifa nayajue
Wewe ni Bwana wa mabwana

Mbingu nchi na maji
Vyakutukuza
Wanyama porini na ndege angani

Yote twatoa kwako kwako
Sifa heshima zako ni zako
Na utukufu wako ni wako
Ohh Bwana

Yote twatoa kwako kwako
Sifa heshima zako ni zako
Na utukufu wako ni wako
Ohh Bwana

Maserafi na makerubi wanaimba
Wakitaja jina lako wakisema
Uu mtakatifu
Ulimwengu wote umejaa utukufu wako

Maserafi na makerubi wanaimba
Wakitaja jina lako wakisema
Uu mtakatifu
Ulimwengu wote umejaa utukufu wako

Mbingu nchi na maji
Vyakutukuza
Wanyama porini na ndege angani

Yote twatoa kwako kwako
Sifa heshima zako ni zako
Na utukufu wako ni wako
Ohh Bwana

Yote twatoa kwako kwako
Sifa heshima zako ni zako
Na utukufu wako ni wako
Ohh Bwana

Yote twatoa kwako kwako
Sifa heshima zako ni zako
Na utukufu wako ni wako
Ohh Bwana

Yote twatoa kwako kwako
Sifa heshima zako ni zako
Na utukufu wako ni wako
Ohh Bwana Bwana

Mbingu nchi na maji
Vyakutukuza
Wanyama porini na ndege angani

Mbingu nchi na maji
Vyakutukuza
Wanyama porini na ndege angani

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Written by: Alexander Mzami

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Tunaliinua Jina Lako (Live) Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Tunaliinua Jina Lako (Live) Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 13 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/10416354/One+To+Another/Tunaliinua+Jina+Lako+%28Live%29>.

    Missing lyrics by One To Another?

    Know any other songs by One To Another? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    "Ground Control to Major Tom -- Take your ______ pills and put your helmet on."
    A protein
    B daily
    C acid
    D vitamin

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    One To Another tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!