Rangi Ya Chungwa

ISSAI IBUNGU

0 fans

ISSAI IBUNGU


9:10
#2

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Najuta, ni kinda langu ni lenye rangi ya chungwa
Maringo yake na mwendo vina nichosha, nachoka kabisa
Kinacho nishinda-eh
Nyumbani kwao wamezidia ukali
Nifanye nini, ili wapate tulia nachoka kabisa
Najuta, ni kinda langu ni lenye rangi ya chungwa
Maringo yake na mwendo vina nichosha, nachoka kabisa
Kinacho nishinda-eh
Nyumbani kwao wamezidia ukali
Nifanye nini, ili wapate tulia nachoka kabisa
Najuta, ni kinda langu ni lenye rangi ya chungwa
Maringo yake na mwendo vina nichosha, nachoka kabisa
Kinacho nishinda-eh
Nyumbani kwao wamezidia ukali
Nifanye nini, ili wapate tulia nachoka kabisa
Ooh usivunje ahadi uliyonihadi dada
Poa kaka mimi ni bado msichana
Tena bado sijamaliza masomo
Nifanye nini kukuacha siwezie!
Oooh!
Nakonda-eh
Nateswa-eh
Nifanye nini mimi?
Pole kaka kipenzi cha roho yangue
Ahadi yetu haijaweza vunjika
Fika nyumbani kwa wazazi wangue
Ooh usivunje ahadi, uliyoniahidi dada
(Poa kaka mimi ni bado msichana)
(Tena bado sijamaliza masomo)
(Nifanye nini kukuacha siwezie!)
Oooh!
Nakonda-eh
Nateswa-eh
Nifanye nini mimi?
Wewe kaka kipenzi cha roho yangue
Ahadi yetu haijaweza vunjika
Fika nyumbani kwa wazazi waang'
Sikia maneno!
Sikia butamu!
Sikia maneno!
Sikia butamu!
Maneno
Maneno
Maneno ya serengete
Maneno
Maneno
Maneno ya serengete
Sikia maneno!
Sikia butamu!
Sikia maneno!
Sikia butamu!
Maneno
Maneno
Maneno ya serengete
Maneno
Maneno
Maneno ya serengete
Ye, ye-ye
Wo, uwo-wo!
Ye, ye-ye
Wo, uwo-wo!
Ye, ye-ye
Wo, uwo-wo! (Ai-yoo)
Chukua, chukua, chukua, chukua (yote yako)
Chukua, chukua, chukua, (yote yako)
Chukua, chukua, chukua, (yote yako)
Chukua, (Serengeti) chukua, chukua, (yote yako)
Chukua, (Serengeti) chukua, chukua, (yote yako)
Vigelegele ndio furaha jamani eh-eh-eeh
Butamu wa ngoma nikushangilia jamani eh-eh-eeh
Chereko chereko na mayowe jamani (ndio furaha) eh-eh-eeh
Makofi mengi na vibwebwe jamani ndio furaha (tokea)
Kutokea westeni
Kwa uwingi, kwa uwingi
Njoo uone (furaha) furaha
Vigelegele ndio furaha jamani eh-eh-eeh
Butamu wa ngoma nikushangilia jamani eh-eh-eeh
Chereko chereko na mayowe jamani eh-eh-eeh
Makofi mengi na vibwebwe jamani ndio furaha (tokea)
Kutokea westeni
Kwa uwingi, kwa uwingi
Njoo uone (furaha) furaha
Hehehee
Sabosooo
Chukua, chukua, chukua, (yote yako)
Chukua, chukua, chukua, (yote yako)
Chukua, chukua, chukua, (yote yako)
Chukua, chukua, chukua, (yote yako)
Chukua, chukua, chukua, (yote yako)
Chukua, chukua, chukua, (yote yako)

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Written by: ISSA IBUNGU

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Rangi Ya Chungwa Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Rangi Ya Chungwa Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 1 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/11149967/ISSAI+IBUNGU/Rangi+Ya+Chungwa>.

    Missing lyrics by ISSAI IBUNGU?

    Know any other songs by ISSAI IBUNGU? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    What musician had a cameo role in Silence of the Lambs?
    A Sammy hager
    B Chris Issak
    C Adam Lavine
    D Michael Buble

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    ISSAI IBUNGU tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!