Hayana Maana
Ken Tiga
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Unamuita sweet Anakuita honey Anakudanganya Anamwengine ndani Ya moyo wake Wee haupo kwake Umezidiwa kete Na my wake Na my wake Anachuma ulete Anampa vyote Anakufanya udate eeh eeh Hayana maana haya Mapenzi walisha semaga Hayana dawa haya Mapenzi hata uwende baga Hayana maana haya Mapenzi walisha semaga Hayana dawa haya Mapenzi ele le le le lee Unampa pesa Anachukua pesa Nae anampa pesa Yule anae mtesa Wenzako wanateseka Kisa hawana pesa Kwenye mapenzi giza Walishapoteza Umesoma nae Umeishi nae Una malengo nae Ya kuzaa nae Na kumbe kichwani nae Ana mtu ambae alikua nae Tangu utoto nae Malengo nae Ya kuzaa nae Ya kuishi nae Na wajukuu wale eeiya Hayana maana haya Mapenzi walisha semaga Hayana dawa haya Mapenzi hata uwende baga Hayana maana haya Mapenzi walisha semaga Kweli siutani Haya mapenzi ni nini Ama nichome mjani Niwe vizuri chumbani Kweli siutani Haya mapenzi ni nini Ama nichome mjani Niwe vizuri chumbani Kweli siutani Haya mapenzi ni nini Ama nichome mjani Niwe vizuri chumbani Kweli siutani Haya mapenzi ni nini Ama nichome mjani Niwe vizuri chumbani
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Hayana Maana Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 15 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/11151671/Ken+Tiga/Hayana+Maana>.
Discuss the Hayana Maana Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In