PARAPANDA

Prince-D

0 fans

Prince-D


3:04
#1

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Eh, ah
Prince D, eh
Oh oh oh oh oh oh oh, eh
Parapanda ya Mungu ikifika
Je, ndugu yangu utakuwa wapi?
Chunguza vazi lako eh ndugu yangu
Je, bado liko safi?

Parapanda yake Mungu wetu ikifika, ah
Je, ndugu yangu eh uta enda wapi, eh?
Parapanda yake Mungu wetu ikifika, ah
Je, ndugu yangu uta enda wapi, eh?
Chunguza kama vazi alilo kupa
Hilo liko safi
Ili ukae ukijuwa kwamba uko tayari
Ku mlaki Bwana atakapo rudi
Kutu chukuwa

Eh, uh ah
Nikodemu, alikuwa na elimu kubwa sana
Katika Biblia ana fahamika
Kuwa muerevu
Na alitambua siri moja kubwa sana
Kwa hivyo ali mwendea Bwana Yesu
Ili apewe ujusi zaidi ya elimu yake
Alikuwa na swali kubwa moyoni mwake
Je, mtu anaweza aje kuingia
Katika hu ufalme wa mbingu, yoyo?

Yesu Kristo kwa elimu mingi
Alimjibu Nikodemu
Usipo zaliwa mara ya pili
Hauwezi ona ufalme wa Mungu
Yesu Kristo kwa elimu mingi
Alimjibu Nikodemu
Usipo zaliwa mara ya pili
Hauwezi ona ufalme wa Mungu

Ukisha zaliwa mara ya pili
Ndugu yangu eh eh eh eh
Takasa njia zako ili usiachwe ndugu, eh
Yesu Kristo atakapo rudia
Kuichukua kanisa
Akute vazi lako likiwa safi mno
Kama teruji eh, oh oh oh oh
Parapanda ya Mungu itakapo lia
Je, ndugu mpendwa utakuwa wapi, eh?

Parapanda yake Mungu wetu ikifika, ah
Je, ndugu yangu eh uta enda wapi, eh?
Parapanda yake Mungu wetu ikifika, ah
Je, ndugu yangu uta enda wapi, eh?
Chunguza kama vazi alilo kupa
Hilo liko safi
Ili ukae ukijuwa kwamba uko tayari
Ku mlaki Bwana atakapo rudi
Kutu chukuwa

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Written by: DAVID ANDERSON MUGABE

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the PARAPANDA Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "PARAPANDA Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 8 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/11375324/Prince-D/PARAPANDA>.

    Missing lyrics by Prince-D?

    Know any other songs by Prince-D? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    What is the Outfield's most popular song according to Last.fm?
    A All the Love in the World
    B Say It Isn't So
    C Your Love
    D Since You've Been Gone

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Prince-D tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!