Nare (feat. Jeffari)
Rooch Mazeh
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Yo mzee. Izi shada za siku izi mzee Bana jo Deno jo na Monga, nyinyi Umeziskia? Apa niko na kimoja Come na ki Rooch Mazeh Jeffari Again again King wa Viding. King king Yeah man Come na ki, na ki, Nare Kilighter Nare Come na ki, na ki, Nare Kilighter Nare Mazeh jana kulishika. Kabisa Kulishika. Kabisa Si kulishika. Kabisa Jana kulishika, kulishika Kabi, kabisa. Kulishika Jana wasee walijitolea form ikajipa Watoto kibao, drinks ka thao jo kulishika Mike alikam through. Ken hakukam through. Jeff ulikam through si kulishika Biggie alikam na maspeakers kwa mabega Eeh, alafu akachujwa juu ya kuleta fujo Njoki na ile squad yake ya wasupa Hawangemiss. Walai, walituonyesha vituko, eh Bro, hii story haiezi ka chini ya maji Mizinga, mambichwa, sheesha ya wale wasupa Buda, kaketepa jo Jana kelele takatifu hadi asubui jo Weh, kulishika. Eeh, mazeh jana kulishika. Kabisa Kabisa. Kulishika Weh, mazeh jana kulishika. Come na kinare Kilighter. Nare Kilighter Nare Come na kinare. Nare Kilighter Nare Dogo ya dogo pale kejani Malines zinarun kwa mind juu design tumenyanya ni vi-natty natty yaani irie. Irie Luku tunayo jo ni hatari. Hatari Mbogi ni mbaya ukicheza utapigwa vibare Na kwani jana Biggie kwa form alifanyaje? Kenye nakumbuka ni ule dame flani Sijui mkale sijui Vale, brathe Ule bana huezani Kwani ndo nani? Alikua mdogo ungedhani ni kamono lakini kujibeba nayo ni ya kimomo Kumkumba kumteka kumbe alidai form Si ni kisima. Buda unatupima Mi nilichimba Shada ishazima weh ndo unanipima. Come na kinare Kilighter. Nare. Kilighter Nare Come na ki, na ki, Nare Kilighter Nare Mazeh jana kulishika. Kabisa Kulishika. Kabisa Si kulishika. Kabisa Jana kulishika, kulishika Come na ki Rooch Mazeh Jeffari, king king Come na ki Nare. Lighter Nare. Kilighter
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Written by: Dennis Maina, Jeffrey Musyoki
Lyrics © DistroKid
Lyrics Licensed & Provided by LyricFind
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Nare (feat. Jeffari) Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 29 Apr. 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/11791701/Rooch+Mazeh/Nare+%28feat.+Jeffari%29>.
Discuss the Nare (feat. Jeffari) Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In