Bwana Mkubwa

Foby

0 fans

Foby


3:52

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Siyo kisa umepewa bastola
Ndo kila kukicha uue
Pengine kukaa nyuma kama kola
Tusi mzembe si wewe
Ningekupa mi ningekupora tuone
Mana watoto wa mjini Unachowafanya
Hayaaaaa aa wee
Kuna wengine unawamiminia
Risasi bila kuangalia rika
We mtu gani hata husikii ukakasi
Watu wanavyolalamika
Siyo uumbaji
Mungu hajaumba hicho kipaji
Siyo uumbaji ni we mwenyewe
Siyo uumbaji
Mungu hajaumba hicho kipaji
Siyo uumbaji
Ni we mwenyewe wewe
Bwana mkubwa
Ooh bwana
Bwana mkubwa
Ubadilike bwana
Bwana mkubwa eeh
Ohh bwana
Bwana mkubwa
Bwana
Bwana mkubwa eeeh
Ohh bwana
Bwana mkubwa
Ubadilike bwana
Bwana mkubwa eeh
Ehh bwana
Bwana mkubwa
Natamani kungekuwaga na limit
Ohh limit ya kupiga risasi
Ukipiga mbili kwa mwaka
Kinawekwa kizingiziti
Ohh kizingiziti
Hazitoki ndo basi
Kama zumbukuku
Hayo ufanyayo
Ufanyayo
Tabia za kuku
Kwa binadamu siyo
Ohh siyo
Kuna wengine unawamiminia
Risasi bila kuangalia rika
We mtu gani hata husikii ukakasi
Watu wanavyolalamika
Siyo uumbaji
Mungu hajaumba hicho kipaji
Siyo uumbaji ni we mwenyewe
Bwana mkubwa
Bwana mkubwa
Ubadilike bwana
Bwana mkubwa eeh
Ohh bwana
Bwana mkubwa
Bwana
Bwana mkubwa eeeh
Ohh bwana
Bwana mkubwa
Ubadilike bwana
Bwana mkubwa eeh
Ohh bwana
Bwana mkubwa
Siyo uumbaji
Mungu hajaumba hicho kipaji
Siyo uumbaji ni we mwenyewe
Bwana mkubwa
Ooh bwana
Bwana mkubwa
Ubadilike bwana
Bwana mkubwa eeh
Ohh bwana
Bwana mkubwa
Bwana
Bwana mkubwa eeeh
Ohh bwana
Bwana mkubwa
Ubadilike bwana
Bwana mkubwa eeh
Ohh bwana
Bwana mkubwa

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Written by: Frank Felix

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Bwana Mkubwa Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Bwana Mkubwa Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 7 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/11795203/Foby/Bwana+Mkubwa>.

    Missing lyrics by Foby?

    Know any other songs by Foby? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    Where was uncle Sam according to Hawkwind?
    A On the Moon
    B On holiday
    C In his grave
    D On Mars

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Foby tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!