Nafanya Yangu
Mullah The Matrix
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
One for the money two for the show Njia zangu nnazopita zitaleta matokeo Michongo nazid iset ili yaje maendeleo Mfugaj kaletaa koo jipya natamba jogoo We nione mi bishoo, narenare oyoyoo Wanangu wanajua kwenye hustle mi nyoo Yaani ni head of the Gang mi ni frank Costello Usicheze na pesa zangu Mi nko ladhi kwenda cello Mkwanja namek mjuba niivest nafnya mziki anaruka shabiki Mchana usiku mbaba sirest nafos making ninase riziki Kibuda nasonga faranga nachanga Najenga majumba we saga na rumba Mbuga kwa mbuga sitingi daruga Nabwaga mapunga mabwabwa vuruga Nakwenda na muda ni shegeda shega Sinaga uwoga mi Honey Badger Mi nafanya meen mi mi nafanya yanguu Mi nafanya meen mi mi nafanya yanguu Don't get on way mi nafanya yanguu Mi nashusha mawee mi nafanyaa yangu Mi nafanya meen mi mi nafanya yanguu Mi nafanya meen mi mi nafanya yanguu Dont get on way mi nafanya yanguu Mi nashusha mawee mi nafanyaa yangu Kivipi niache kufanya ili hali nna kiwango Siwezi hofia kukenua mdomon sina mapengo Amini unachokiona ni mm mtoto wa Mipango Wiseman huwa na subra hustler siishiwi michongo Nmesimama imara dizaini ya mbao za mpingo HipHop kwangu ndio Dira nafanya hii kwa usongo Malengo ni mkwanja babaa kila nikipata chance Bila mama nisingeweza mi could i never do this Mshua unaniongoza you are my direction know it Wananivuta shati hawanipati nasongosonga kasi Mi mkosi sifosi more cash no loss Ooo yess am boss mi ni noma hadi basi Mi msafi we check am serious sichek Sichoki kurhym nki rhym ni fataki Wanadhan mi naleta utani kwenye fani Yani hamadi kibindoni na mkonon mi nna gun I never get mad, I get money Mi nafanya meen mi mi nafanya yanguu Mi nafanya meen mi mi nafanya yanguu Dont get on way mi nafanya yanguu Mi nashusha mawee mi nafanyaa yangu Mi nafanya meen mi mi nafanya yanguu Mi nafanya meen mi mi nafanya yanguu Dont get on way mi nafanya yanguu Mi nashusha mawee mi nafanyaa yangu Mi napenda nnachofanya kila nikipata mwanya nisikike kila koona Dar Mwanza mpaka Mara Zanzibar to Mtwara, Mbeya, Chuga na Kigoma Mi ni noumaaa Mi nafanya meen, hey heeeee Mi nafanya yangu, oooh oooooh Mi nafanya meen, hey heeeeeee Mi nafanya yangu, oooh oooooh Hiphop heeey hoooo Heeeey hooooooo Hiphop heeey hoooo Heeeey hooooooo
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Nafanya Yangu Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 30 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/11802549/Mullah+The+Matrix/Nafanya+Yangu>.
Discuss the Nafanya Yangu Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In