BABA MWEMA x HAKUNA MEDLEY (LIVE)

JEMMIMAH THIONG'O

0 fans

JEMMIMAH THIONG'O

11:11
#1

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Baba Baba mwema pokea sifa wewe uishiye milele
Baba Baba mwema nitakuinua siku za maisha yangu
Baba Baba mwema pokea sifa wewe uishiye milele
Baba Baba mwema nitakuinua siku za maisha yangu
Nasimama jili yako Baba Mungu wangu wewe u'mweza
Nitakuimbia nikupe sifa umeniinua Baba umenisimamisha
Nasimama jili yako Baba Mungu wangu wewe u'mweza
Nitakuimbia nikupe sifa umeniinua Baba umenisimamisha wima
Baba Baba mwema pokea sifa wewe uishiye milele
Baba Baba mwema nitakuinua siku za maisha yangu
Baba Baba mwema pokea sifa wewe uishiye milele
Baba Baba mwema nitakuinua siku za maisha yangu
Ulonitendea sitosahau kamwe ndiposa nasema nasimama jili yako
Nilipofika mwisho Baba we ulinijia ukasimama nami ukainua imani yangu
Walinikashifu waondoe imani yangu ukanidumisha hata ukakaa nami
Walingoja sana nianguke waniseme ukaniinua we uishie milele
Baba Baba mwema pokea sifa wewe uishiye milele
Baba Baba mwema nitakuinua siku za maisha yangu
Baba Baba mwema pokea sifa wewe uishiye milele
Baba Baba mwema nitakuinua siku za maisha yangu
Maradhi yalinipata wakafurahia hata kifo changu wakaanza kutabiri
Lakini Mungu wangu kweli wanijali kwani uliniponya wote wakaaibika

Hakuna hakuna hakuna linalomshinda
Yote Bwana Yesu anaweza 'liwatoa jasho makuhani
Na wazee hekaluni
Hakuna hakuna hakuna linalomshinda
Yote Bwana Yesu anaweza 'liwatoa jasho makuhani
Na wazee hekaluni
Hakuna linalomshinda Yesu mkombozi wangu
Soma Bibilia utaona yote Bwana Yesu anaweza
Hakuna lililogumu kwake
Hakuna linalomshinda Yesu mkombozi wangu
Soma Bibilia utaona yote Bwana Yesu anaweza
Hakuna lililogumu kwake anaweza
Hakuna hakuna hakuna linalomshinda
Yote Bwana Yesu anaweza 'liwatoa jasho makuhani
Na wazee hekaluni
Hakuna hakuna hakuna linalomshinda
Yote Bwana Yesu anaweza 'liwatoa jasho makuhani
Na wazee hekaluni
Magonjwa yakulemea Yesu 'liponya hata ukoma
Vipofu viwete na viziwi yote Bwana Yesu aliponya
Isitoshe alifufua Lazaro
Ulevi umekulemea 'ligeuza maji kuwa divai
Wapoteza macho kwa kumikumi waelekea poteza maisha
'kimwamini hautaona kiu ya pombe
Hakuna hakuna hakuna linalomshinda
Yote Bwana Yesu anaweza 'liwatoa jasho makuhani
Na wazee hekaluni
Hakuna hakuna hakuna linalomshinda
Yote Bwana Yesu anaweza 'liwatoa jasho makuhani
Na wazee hekaluni
Hakuna linalomshinda njaa kwa Yesu sio tisho
'liwapa shibe elfu tano toka kwa mikate miwili
Kabaki kuokota vikapu saba
Hakuna linalomshinda baada ya kutufia msalabani
Aliingia kuzimu Yesu kanyang'anya shetani funguo
Kampa ibilisi tetemeko kubwa sana
Hakuna hakuna hakuna linalomshinda
Yote Bwana Yesu anaweza 'liwatoa jasho makuhani
Na wazee hekaluni
Hakuna hakuna hakuna linalomshinda
Yote Bwana Yesu anaweza 'liwatoa jasho makuhani
Na wazee hekaluni
Yesu anaweza anaweza Baba anaweza anaweza
Kweli anaweza Aah aah aah aah aah
Hakuna linalomshinda
Kuinua aweza anaweza kudumisha aweza anaweza
Yeye anaweza Aah aah aah aah aah
Hakuna linalomshinda
Yeye anaweza anaweza kuponya aweza anaweza
Kubariki anaweza Aah aah aah aah aah
Hakuna linalomshinda

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Written by: JEMMIMAH THIONG'O

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the BABA MWEMA x HAKUNA MEDLEY (LIVE) Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "BABA MWEMA x HAKUNA MEDLEY (LIVE) Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 30 Apr. 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/12113601/JEMMIMAH+THIONG%27O/BABA+MWEMA+x+HAKUNA+MEDLEY+%28LIVE%29>.

    Missing lyrics by JEMMIMAH THIONG'O?

    Know any other songs by JEMMIMAH THIONG'O? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    Who wrote "I'm in Love with My Car" by Queen?
    A John Deacon
    B Freddie Mercury
    C Brian May
    D Roger Taylor

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    JEMMIMAH THIONG'O tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io

    Think you know music? Test your MusicIQ here!