NAKUTAFUTA

JEMMIMAH THIONG'O

0 fans

JEMMIMAH THIONG'O


5:09
#1

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Nakutafuta Bwana nakutafuta Bwana
Usikae mbali nami nakutamani sana
Nakutafuta Bwana nakutafuta Bwana
Usikae mbali nami nakutamani sana
Kama vile ayala anavyotamani maji
Akiwa katika jangwa hivyo ndivyo moyo wangu wakutamani
Niombapo unijibu nikuitapo niitike
Baba usininyamazie nakuhitaji Wewe
Nakutafuta Bwana nakutafuta Bwana
Usikae mbali nami nakutamani sana
Nakutafuta Bwana nakutafuta Bwana
Usikae mbali nami nakutamani sana
Wewe ndiwe kimbilio mwamba wangu hatarini
Jabali la maficho yangu nakuinua Bwana
Sina mwingine eeh Baba nakusifu siku zote
Nakuinamia kati ya vita nipiganie Yesu
Nakutafuta Bwana nakutafuta Bwana
Usikae mbali nami nakutamani sana
Nakutafuta Bwana nakutafuta Bwana
Usikae mbali nami nakutamani sana
Niliapo kwa uchungu sikia kilio changu
Maana wee pekee Baba ndo unielewaye
Mikononi mwako Yesu unishike nisianguke
Nitue miguuni pako mahali pa usalama
Nakutafuta Bwana nakutafuta Bwana
Usikae mbali nami nakutamani sana
Nakutafuta Bwana nakutafuta Bwana
Usikae mbali nami nakutamani sana
Wote wanaomtafuta Yesu
Hakuna wakati watakosa mambo mema
Licha ya yote ninayopitia leo
Natafuta uso wako Mungu wangu
Njoo unikomboe nusuru moyo wangu
Ili Baba yangu niwe na ushuhuda mpya
Nimekuona na ukanitendea
Nakutafuta Bwana nakutafuta Bwana
Usikae mbali nami nakutamani sana
Nakutafuta Bwana nakutafuta Bwana
Usikae mbali nami nakutamani sana

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Written by: JEMMIMAH THIONG'O

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the NAKUTAFUTA Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "NAKUTAFUTA Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 7 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/12706790/JEMMIMAH+THIONG%27O/NAKUTAFUTA>.

    Missing lyrics by JEMMIMAH THIONG'O?

    Know any other songs by JEMMIMAH THIONG'O? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    Which member of the pop boy band One Direction left the group?
    A Harry
    B Liam
    C Niall
    D Zayn

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    JEMMIMAH THIONG'O tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!