Khali champlin/KASUKU
Ebebé Jamal
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Ehehehe Mazishi Khali Champlin Inabidi Uwe Unarespect na Zzuanga Tamba huko huko pande zetu uwezi tamba Tamba huko huko pande zetu uwezi tamba Kwetu mkali nyash bar zako hazina maana, Rapper hauna Cash Mpaka crash zinakukataa Umechokoza Nyuki manundu ndio wako mshahara Umekosea chocho Kaa chini vua mkanda Aya ni mazishi, yale yale uliyoyandaa Tumekutumia Pisi Rosa ree amekukanda Umesikia disi ya Orbit moto umewaka Na kama haujajua brother hii ndio Zzuanga Ukirespect OG inabidi uwe unarespect na hii sasa Uko mnaweza siasa, huu muziki kwenu anasa Hatuogopi Body Izo tunazitia vitasa Acha kujichubua na kuvaa body tight Na izo tatoo feki utachora hadi love bites, Rudi ukajenge kwenu Mama Khali anakuitaji Unapost magari ambayo tumeyasahau parking Omolo kwisha kazi Jifunze kiswahili safi Kisha njoo na magoti kasuku ukiomba radhi Mabrother wamekumind huu muziki unakazi Mpaka kuitwa legend kimsingi inahitaji utashi Octopizo anacheka umeyakanyaga mnywa ulanzi umepanda mabua unasubiri vuna mbaazi Tuzo bila wabongo usingepata chunga mzazi Una Msuli bila Boxer unang'ang'ania kwea mnazi Usisahau uliomba tagi, Hashitag twitter party Leo una brag about you made it F*ck every body Moment of Fucking silence we turn him to dead body Leo ndio utajua simba ana body guard Chui anabord guard Tembo ana body guard Kiba hana ata mlinzi utu ndio unamlinda mtaani Sasa Mbona Unapanic Haujaimaliza Kazi Au Hauna Kazi Basi Tukupe Kazi Mobeto Giggy Sepetu Huwawezi hao dada Zetu Na kwa kukufaa tu Chunga Brother Usicheze Peku Braa Braah Mtandaoni jioni unaomba kula kwetu Dis Dis hao hao usicheze na mziki wetu Round hii hautoboi Ata ukimbilie Cheketu Bongo maji yalipoa ilishazama hadi Titanic Iddi Amini hakuamini mpaka historia aimtaki Kabla hujadis make sure umepiga mswaki Rudi nyumbani kahakikishe familia ipo happy Sio unakuja front alafu mgongo upo wazi Mwili Puto dawa yake nyembe beki hazikabi Wenzako wamekula kona umebaki huna tagi Aya sasa kiko wapi, Kwenu wanao hawakutaki Bora Ungeshow love tusingefikia hapa basi Unao watambia wewe Mkali Wote Milo ya Manati Wanakusifia uongo mpaka unajiona King Mswati Usidanganyike na Like Machawa watakutia ndani Na hiko kiingereza Kingi kwetu ushamba hatubabaiki Tamba uko uko pande zetu usiweke Kambi
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Khali champlin/KASUKU Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 27 Apr. 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/12820871/Ebeb%C3%A9+Jamal/Khali+champlin-KASUKU>.
Discuss the Khali champlin/KASUKU Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In