RESILIENT

Dice Mane

0 fans

Dice Mane

4:13

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Daily naandika songs lakini simalizi flows
Nikuje na trend kitu fire kama sleezy flow
Pen ikiisha ink sharpener si ni ya pencil
Back to baggy jeans hatudungagi mapencil
Ndoto ni za pesa in my dreams i got bezos
Cruisin in the city with a maybach benzo
Pedi wa mapenzi niite Bensoul
Kaskazini hadi kusini wanabend over

Steppa ndani ya crocs aliuliwa na matope boss
Ameaminiwa na opps alislide wakapata loss
New kid walimshow clean hio mess kutumia toss
Usimess na si Radioactive we unbeatable
Freestyle na si diss zetu zote criminal
Lifestyle gen z mihadarati imetukaba woi
Weird technique sipendagi homo sexuals
Blessings we seek curses basi ni collateral
Zidi tu kuhate mi nasonga exponential
International ndoto ziko na potential
Siharakishi fate step by step im moving gradual
Sidai kufika early mi nadai nifike punctual
Nijulikane kwa hii game bila ritual
Nijulikane ngoma zangu ni habitual
Nijulikane kwa hii game bila ritual
Nijulikane ngoma zangu ni habitual

Daily Naandika songs lakini simalizi flows
Nikuje na trend kitu fire kama sleezy flow
Pen ikiisha ink sharpener si ni ya pencil
Back to baggy jeans hatudungagi mapencil
Ndoto ni za pesa in my dreams i got bezos
Cruisin in the city with a maybach benzo
Pedi wa mapenzi niite Bensoul
Kaskazini hadi kusini wanabend over

I don't work a job like the average bro
I got all the dope fiends chase me so
Gari bila key hii ni push to start
Musicality mnasema mi ni star
Cabinet Secretary alikuaga Minister
Ndo tujue gova inatucheza bruh
I got pengs in Nakuru broads in Limuru ey
Ndo tujue mapenzi inatucheza bruh wait
What a big puff kamefurisha mashavu
I got a big D shorty anadai hio nyagu
Ju zake zimeshika anadai kunishika
Afande huna proof kimbichwa kiko kwa kichwa
Afande huna proof kimbichwa kimejificha
Na famere ya blue tumegeuka mamwere
Kupigwa kila game Man U watusengenye
Arsenali ju ya cocha wameshachachisha scene
Mancity kama kawa na mabao wamejipin
Live iko no.1 so Mylo amejifeel
But hii ni 1st leg kugeuziwa ni real
Nimefurisha kende kwa ma opps na ma snitch

Daily naandika songs lakini simalizi flows
Nikuje na trend kitu fire kama sleezy flow
Pen ikiisha ink sharpener si ni ya pencil
Back to baggy jeans hatudungagi mapencil
Ndoto ni za pesa in my dreams i got bezos
Cruisin in the city with a maybach benzo
Pedi wa mapenzi niite Bensoul
Kaskazini hadi kusini wanabend over

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Written by: Dylan Robin

Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the RESILIENT Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "RESILIENT Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 5 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/14382068/Dice+Mane/RESILIENT>.

    Missing lyrics by Dice Mane?

    Know any other songs by Dice Mane? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    "Music" is a 1976 biggest hit single by which artist?
    A Peter Gabriel
    B Jon Anderson
    C Barry Ryan
    D John Miles

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Dice Mane tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io

    Think you know music? Test your MusicIQ here!