Mungu Mkuu
Evelyn Wanjiru
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Yaweh Eee iyee iye Unabaki kua Mungu pekee. Yaweh Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu. Alfa na omega, hubadiliki kamwe Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu. Alfa na omega, hubadiliki kamwe Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu. Alfa na omega,hubadiliki kamwe Nikitazama nyuma na mbele, naona ukuu wako. Kaskazini kusini pia, naona ukuu wako. Magharibi nako mashariki pia ee, naona ukuu wako Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu. Alfa na omega, hubadiliki kamwe Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu. Alfa na omega, hubadiliki kamwe Hakuna mkamilifu katika wanadamu iyee, Zaidi ya ee weh Mungu wangu Mungu wangu Kila goti lipigwe, kila ulimi ukiri Kuwa wewe ni Mungu pekee, pekee, wewe Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu. Alfa na omega, hubadiliki kamwe Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu. Alfa na omega, hubadiliki kamwe Umenipigania, vita vikali. Ambavyo mimi singeweza peke yangu. Maadui waliniandama Lakini ukawatawanya, kwa njia sabaa Usifiiwe, uabudiwe Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu. Alfa na omega, hubadiliki kamwe Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu. Alfa na omega, hubadiliki kamwe Unabaki kuwa Mungu tu Anabaki kuwa Mungu tu Na kwa wakamba, Mungu tu. Na kwa waluhya, Mungu tu. Na wakikuyu, Mungu tu. Na kwa waturkana, Mungu tu. Hata wakisii, Mungu tu Hata waluo,Mungu tu. Na kwa wamasaii, Mungu tu Na kwa wakalenjin, Mungu tu. Eeeyeye Mungu tu. Na mijikenda, Mungu tu Anabaki kuwa, Mungu tu Na kwa wazungu, Mungu tu Afrika yote, Mungu tu Dunia yote, utabaki kua Mungu mkuu. Yeaah atabaki kua Mungu Atabaki kua Mungu tu Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu. Alfa na omega, hubadiliki kamwe Zaidi ya yote, utabaki kua Mungu mkuu.
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Mungu Mkuu Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 21 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/3389763/Evelyn+Wanjiru/Mungu+Mkuu>.
Discuss the Mungu Mkuu Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In