Zaidi Ya Yote (feat. Mr. Peace)

Eliakim James

0 fans

Eliakim James


5:29
41 

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Zaidi ya yote wewe ni zaidi ya yote
Zaidi ya yote wewe ni zaidi ya yote
U mwemaa wewe Mungu mkuu wewe ni zaidi ya yote
U mwemaa wewe Mungu mkuu wewe ni zaidi ya yote
Mungu wetu ni zaidi ya yote
Mungu wetu ni zaidi ya vile watu wanavyosema
Ni mkuu kuliko miungu mingine yote
Na ni njia pekee ya kwenda kwa baba
Namwongelea mwana wa Adam
Na wote wenye maskio ya kuskia na wamskie mwana wa Mungu
Muumbaji wa vitu vyote vinavyoonekana na visivyo onekana
Maana yeye ni Mfalme Mbinguni
Tena ni mfalme ambae wafalme huanguka mbele zake na kumwita mfalme
Mungu wetu haelezeki
Amewafikia ambao hawajawahi kufikiwa
Amewaita wasio stahili na kuwastahilisha aliowaita
Ni Mungu mwaminifu anastahili kuabudiwa
Ni zaidi ya yote
Zaidi ya yote wewe ni zaidi ya yote
Zaidi ya yote wewe ni zaidi ya yote (mwamaa)
U mwemaa (mwema) wewe Mungu mkuu (wewe yaweh)wewe ni zaidi ya yote (wewe ni mwema)
U mwemaa wewe (wewe ni mwemaa) Mungu mkuu wewe ni zaidi ya yote
Our God is more than what peoples say
Our God is more than everything
He is greater than any other god
He is the only way to the farther
Am talking about the son of men
Let all that have ears to hear
Hear the majesty of our Lord
The creator of all things seen and invisible
He is the king in heaven
The king whom kings bow down and call him king
Our God is indescribable
Our God has done the impossible
Reach unreachable and called unqualified and qualify the called
He is the faithful God
He deserve to be worshipped
He is more than everything
He is the alpha and omega
You're more than what people say, ooh lord you are more than what people say
You're more than what people say you're more than what people say eeh eeeh
You are good you are wonderful you're you are more than what people say
You are good you are wonderful you're you are more than what people say eeeh
Zaidi ya yote (wewe ni zaidi)
Wewe ni zaidi ya yote (ni zaidi ya fedha na dhahabu)
Zaidi ya yote (ni zaidi ya wafalme wote)
Wewe ni zaidi ya yote
(Nasema wewe ni mwema)
U mwemaa wewe Mungu mkuu wewe ni zaidi ya yote
(Unatenda mambo makubwa)
U mwemaa wewe Mungu mkuu wewe ni zaidi ya yote

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Written by: Amani Peace

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Zaidi Ya Yote (feat. Mr. Peace) Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Zaidi Ya Yote (feat. Mr. Peace) Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 30 Apr. 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/3466382/Eliakim+James/Zaidi+Ya+Yote+%28feat.+Mr.+Peace%29>.

    Missing lyrics by Eliakim James?

    Know any other songs by Eliakim James? Don't keep it to yourself!

    Watch the song video

    Zaidi Ya Yote (feat. Mr. Peace)

    6
    0     0

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    Which member of the pop boy band One Direction left the group?
    A Liam
    B Niall
    C Zayn
    D Harry

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Eliakim James tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!