Mti Mkavu

Fresh Jumbe

0 fans

Fresh Jumbe


7:11
17 
#1

 Struggling with Mti Mkavu? Become a better singer in 30 days with these videos!

Kizaizai kizaizai kizaizai kizaizai mmmh
Kumbwaya la kumwaga mwaga
Pata shika na nguo kuchanika
Alumeh
Usimfundishe Samaki kuogelea majini ndio kwake hehe

Nipande mti mkavu mbichi walewalewa
Nipande mti mkavu mbichi walewalewa

Kuna mahaba ya njiwa mke kumlisha mumewe
Kuna mahaba ya njiwa mke kumlisha mumewe

Wanawake wana magamba wanaume wana sagamba
Wanawake wana magamba lololo wanaume wana sagamba
Iya magamba iya sagambaoh

Iya magamba iya sagamba
Iya magamba iya sagamba lelele
Iya magamba iya sagamba
Iya magamba iya sagamba leo leo
Iya magamba iya sagamba
Iya magamba iya sagamba
Iya magamba iya sagamba
Itai piga gitaa

Pumu zilipata mkohozi akafanya kweli
Ha a ha a ha a ha a ha a ha a ha a ha a ha a ayaya

Nipande mti mkavu mbichi walewalewa
Nipande mti mkavu mbichi walewalewa

Kuna mahaba ya njiwa mke kumlisha mumewe
Kuna mahaba ya njiwa mke kumlisha mumewe

Wanawake wana magamba wanaume wana sagambaoh
Wanawake wana magamba lololo wanaume wana sagamba
Iya magamba iya sagamba

Iya magamba iya sagamba
Iya magamba iya sagamba leo leo
Iya magamba iya sagamba
Iya magamba iya sagamba lelele
Iya magamba iya sagamba
Iya magamba iya sagamba
Iya magamba iya sagamba

MmmH Kisiki cha Muhingo
Buyuni kitopeni mmh

Mamaeh
Jama Barazani kwangu
Mamaeh
Niupande mti gani
Mamaeh
Jama nikiupanda mpera
Mamaeh
Wahuni watanikera
Mamaeh
Jama nikiupanda mchungwa
Mamaeh
Unahitaji kuchungwa jama
Mamaeh
Jama nikiupanda mnazi
Mamaeh
Walevi wataniudhi
Mamaeh
Jama nikilifunga bembea
Mamaeh
Nakaribisha umbea kwangu
Mamaeh
Jama barazani kwangu
Mamaeh
Niupande mti gani jama
Mamaeh
Alumeh uchi na ache
Hehehe Petii Omar Mkali

Soko soko soko soko soko soko soko soko soko soko soko soko soko ayayah
Wanawake wote upande mmoja msifanye mchezo hapa hah

Chekelea chekelea maisha ni limoja hayarudi hayo
Kisiki cha muhingo Buyuni kitopeni hah

Chekelea chekelea maisha ni limoja hayarudi hayo
Hayarudi hayo yamepita hayo
Chekelea chekelea maisha ni limoja hayarudi hayo

Ukipata kitumie ukikosa kijutie mama
Chekelea chekelea maisha ni limoja hayarudi hayo

Alumeh Uchi na ache
Mla ni mla wa leo mla jana kala nini

Utamu wa ubwabwa wa leo tunaupata leo leo
Huu ni wakati wangu wangu wakati wako umepita
Wakati wa mimi kuwasha moto mah maama
Mla ni mla wa leo mla jana kala nini
Kama ulikula Chapati leo ni mapochopocho
Huu ni wakati wangu wangu wakati wako umepita

Napasuwa raha katikati ya shida yah eeh
Aloo iko kitu inasukuma kitu angalia ha a ha a ha a ha a ha a ha a ha a ha a ha a ayaya

Chekelea,chekelea maisha ni limoja, hayarudi hayo
Hayarudi hayo yamepita hayo
Chekelea chekelea maisha ni limoja, hayarudi hayo
Kumbe ni wewe? ah
Chekelea chekelea maisha ni limoja hayarudi hayo
Bob Chipembele Saidi Chipembele
Chekelea chekelea maisha ni limoja hayarudi hayo
Ah Samuel KKuchaka kumbe ni wewe
Mla ni mla wa leo mla jana kala nini

Mla jana kala nini oh amepitwa na wakati oh
Huu ni wakati wangu wangu wakati wako umepita

Aloo wewe, Bob C S C iko siku
Sabbassshhh

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Written by: Fresh Mkuu

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Mti Mkavu Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Mti Mkavu Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 29 Apr. 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/3594381/Fresh+Jumbe/Mti+Mkavu>.

    Missing lyrics by Fresh Jumbe?

    Know any other songs by Fresh Jumbe? Don't keep it to yourself!

    Watch the song video

    Mti Mkavu

    18,660
    44     5

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    What was Britney Spears’ first single called?
    A In the Zone
    B Baby One More Time
    C Stronger
    D Piece of Me

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Fresh Jumbe tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!