Bloody War
Smady Tingz, Seska, Dullah
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Bloody scene, ma-reporter wahepe Kaa ni scene, ma-revolver, ma-AK Baki scene, kawe gwangi ama senke Hapa gwangi atabakisha masenke Ama gwangi atabakishwa na senke Hapa gwangi atabakisha masenke Ama gwangi atabakishwa na senke Hapa gwangi atabakisha masenke Mauru ni mahuru, ye atabaki kuwa mahuru Na wa huku hutumia dumba na madawa kama dudu Kaa ni vita, utabaki bila ukapi na marungu Hapa issue sitaki, unaweza vunjwa, bloody nugu Pia ma-misuse sitaki, jua exile tuko huku Bila morio, bila ndugu, utaweza? Utafaulu? Kila mtu ana virusi hadi ma-pastor wanajishuku Hapa hakunanga mapenzi, jo, mapenzi haiezi dumu Na nakunauwo, nakudigi, gotea morio, chaji, zigi Ye huzi-roll bila zigi, buda riang', kaa makini Kunywa thiang' kama mbili, buda riang', huna akili Huwezi burn kaa nare, huweza run kaa mkale Kisu, kisu haichagui koma, koma cocker haichagui kisu, kisu Kisu haichagui koma, koma cocker haichagui kisu, kisu Kisu haichagui koma, koma cocker haichagui kisu, kisu Unambao na unadai ku-buy Kibao nusu Bloody scene, ma-reporter wahepe Kaa ni scene, ma-revolver, ma-AK Baki scene, kawe gwangi ama senke Hapa gwangi atabakisha masenke Ama gwangi atabakishwa na senke Hapa gwangi atabakisha masenke Ama gwangi atabakishwa na senke Hapa gwangi atabakisha masenke Yeah Zama choche ya machingri na makidri Hawa marezi wanabanja ni wanigri Nafufua ile ilengi wanazibri Rengwa wako Chiromo kwa njifri Mi hupenda kuzi-cock kama koki Kama mbaya basi tunabaki mbogi Uko tifla, umebugda kwa rodi Na madibla zimetapakaa kwa rodhi Morio ngori anasimamia njiste Kaa ni ngeso, mi huzungusha na Diffre Kaa ni asset, kuzipeleka moriste Kaa ni Baley, mi hubwagishanga ticre Tuko frontde m-G, tumejibeba Tuko stroko kila giz kujibeba Kaa ni shake, si hulima hizi ndepa Hizi shang' ndio husababisha rieba Niko ndoso, nawazama tu mambosho Ni kunare, walidhani ni kunyozo Zimeshika kaa simiti na kokoto Kuwateki kwa warosho kimangoto (gunshot) Bloody scene, ma-reporter wahepe Kaa ni scene, ma-revolver, ma-AK Baki scene, kawe gwangi ama senke Hapa gwangi atabakisha masenke Ama gwangi atabakishwa na senke Hapa gwangi atabakisha masenke Ama gwangi atabakishwa na senke Hapa gwangi atabakisha masenke Kifo haichagui kaa umeokoka, haichagui kabila Haichagui kaa umeomoka, haichagui kama wewe hukaa bila We ni simba, blunder umekam, sina itoka na bilaa Achanga ufike shang', halafu upate mi ndio guntila Achanga ukabila, si ni watumwa, tuliacha mila Medi wa miraa, huwezi nipata mi bila silaha Bangi na miraa, bangi na, bangi na miraa Bangi na silaha, kuna vitu siwezi kaa bila Bloody scene, ma-reporter wahepe Kaa ni scene, ma-revolver, ma-AK Baki scene, kawe gwangi ama senke Hapa gwangi atabakisha masenke Masenke Masenke Masenke Hapa gwangi atabakisha masenke
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Written by: Dullah Music, Seska Ethic, Smady Tings
Lyrics © Zeer Mzika
Lyrics Licensed & Provided by LyricFind
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Bloody War Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 29 Apr. 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/4454089/Smady+Tingz/Bloody+War>.
Discuss the Bloody War Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In