Nipe Hekima

TB Joshua Junior

0 fans

TB Joshua Junior


3:49
17 
#3

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

TB Joshua Junior aaah!
Chukwunwikeee ooooh!

Ee Bwana usinilaumu katika
Ghadhabu Yako japo mi mkosaji
Wala usiniadhibu kwa ukali wa
Hasira yako Wewe ndo wangu mpaji
Wanao nipenda na rafiki zangu
Wamejitenga mbali sana mbali nami
Na hao wanaotafuta uhai wangu
Utega mitego mikali
Wanaotaka kunidhuru unena mengi
Mengi yao ni tindikali
Usiniachilie nikuchunjuke uso 
Maana adui zangu wapo macho

Bwana nipe hekima
Nipe hekima nipe hekima 
Nipe hekimaaaa 
Mungu nipe hekima
Bwana nipe hekima
Nipe hekima nipe hekima 
Nipe hekimaaaa
Mungu nipe hekima

Kamwe sitotetereka na haya
Hivi mmetangaza vita nami kisa nini?
Kosa langu ni nini haswa?
Au kukataa yenu ndo nilipokosea?
Ataziongeza siku zangu za kuishi
Na nitaliimba jina Lake popote duniani
Na nimewasamehe wote maana
Vita hii si yangu ni Yake Baba Mungu 

Bwana nipe hekima
Nipe hekima nipe hekima 
Nipe hekimaaaa 
Mungu nipe hekima
Bwana nipe hekima
Nipe hekima nipe hekima 
Nipe hekimaaaa
Mungu nipe hekima

Ila mimi nimenyamaza
Sitafumbua kinywa changu
Wewe umeyaruhusu haya
Yanayotendeka yafanyike kwangu

Bwana nipe hekima
Nipe hekima nipe hekima 
Nipe hekimaaaa 
Mungu nipe hekima
Bwana nipe hekima
Nipe hekima nipe hekima 
Nipe hekimaaaa
Mungu nipe hekima

Bwana nipe hekima
Nipe hekima nipe hekima 
Nipe hekimaaaa 
Mungu nipe hekima
Bwana nipe hekima
Nipe hekima nipe hekima 
Nipe hekimaaaa
Mungu nipe hekima

Bwana nipe hekima
Nipe hekima nipe hekima 
Nipe hekimaaaa 
Mungu nipe hekima
Bwana nipe hekima
Nipe hekima nipe hekima 
Nipe hekimaaaa
Mungu nipe hekima

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Written by: Bienvenue Badibanga

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Nipe Hekima Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Nipe Hekima Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 26 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/4746030/TB+Joshua+Junior/Nipe+Hekima>.

    Missing lyrics by TB Joshua Junior?

    Know any other songs by TB Joshua Junior? Don't keep it to yourself!

    Watch the song video

    Nipe Hekima

    176
    4     0

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    Who is the original artist that first sang the hit, "Turn The Page"?
    A Bob Seger
    B Bob Dylan
    C Robert Plant
    D Peter Gabriel

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    TB Joshua Junior tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!