Chrome Bila Soda (feat. Rio & Remy Vert)

A$na Tee

0 fans

A$na Tee

2:28

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Chrome bila soda manzi yako ni mkora anatekwa kila corner hadi na masponsor
Chrome bila soda manzi yako ni mkora anatekwa kila corner hadi na masponsor
Na mi sichoki nguna ananipiga confession gethaa ya pongi akidai akidai akidai
Ati, (aah)
Na mi sichoki nguna akinikunywa mi ni nani namkata ka choki, akidai akidai akidai, ati aah

Number one wewe ni mrazi, number two naskia manzi yako ni jambazi
Lakini leo stambui haimatter
Akitaka anajua nataikata,nikiitafuta najua naipata
Nguna wako ako kazi bata

Kwenye meza nina chrome kaa saba 
Aki waiter leo jo utaitana 
Chini nimepiga nike chunga ntakupona
Rombo nguya itabaki umelazwa
Umeleta paka naikula kwa sahani
Ikus inatupa naipaka sanitaizer 
Skembi kitu nina miwani
Sina amani

Sura mbaya kufogotha tu make up
Date labda tucheki ile calendar
Mudiaez inapop
Snapchat effects hazishiki kwani iko nini?
Chuma ilale ndani juh nimembao
Ngeus Chopi apewe choki
Anaringa na lowkey ameninoki
Saa ya pongi anadai baby choke me!

Chrome bila soda manzi yako ni mkora anatekwa kila corner hadi na masponsor
Chrome bila soda manzi yako ni mkora anatekwa kila corner hadi na masponsor 
Na mi sichoki nguna ananipiga confession gethaa ya pongi akidai akidai akidai
Ati, (aah)
Na mi sichoki nguna akinikunywa mi ni nani namkata ka choki, akidai akidai akidai, ati aah

Chrome bila soda manzi yako ni mkora anatekwa kila corner hadi na masponsor

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Written by: Thomas Nyamu

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Chrome Bila Soda (feat. Rio & Remy Vert) Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Chrome Bila Soda (feat. Rio & Remy Vert) Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 30 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/5312131/A%24na+Tee/Chrome+Bila+Soda+%28feat.+Rio+%26+Remy+Vert%29>.

    Missing lyrics by A$na Tee?

    Know any other songs by A$na Tee? Don't keep it to yourself!

    Watch the song video

    Chrome Bila Soda (feat. Rio & Remy Vert)

    1,465
    167     0

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    Who wrote “Get down on it”
    A Kool and the gang
    B Marvin Gaye
    C Miguel
    D Rkelly

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    A$na Tee tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io

    Think you know music? Test your MusicIQ here!