Hakuna Matata

Octopizzo

0 fans

Octopizzo

Octopizzo is a Kenyan hip-hop artist known for his unique style and socially conscious lyrics. He rose to fame with his debut single "Ivo Ivo" and has since released several successful albums. Octopizzo's music often addresses social issues, political tensions, and his personal experiences growing up in the slums of Kibera, Nairobi. He is recognized as one of the pioneers of the Kenyan hip-hop scene and has collaborated with various renowned artists both locally and internationally. Octopizzo's talent and authenticity have made him a prominent figure in the African music industry. more »


3:58
30 
#1

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Gang! check cheque check check
GangGang ei

Kenya hakuna matata
Kenya hakuna matata
Kenya hakuna matata
Kenya hakuna matata
Jambo jambo bwana
Mambo gani bana
Pizzo De king and you know it

Kenya hakuna matata, na daily watu wanaukata
Kenya hakuna matata, njaa mob turkana
Kenya hakuna matata, politician wantukanana
Bei ya unga juu
Chapo Dunga juu
Fare kwa mat juu
Rat and rat Chwom Chwom
Panya root ndio zetu
Kenya hakuna matata
Nchi ya kitu kidogo
Kenya hakuna matata afande anadai hongo
Jambo jambo bwana
Eh kwa hao ma tourist wanakuja hii area
Msijaribu kudanganywa jo
Hizo mnaskia huko njee ni kata sana
Pizzo De King and you
Know it know it know it

Kenya hakuna matata
Kenya hakuna matata
Kenya hakuna matata
Kenya hakuna matata
Jambo jambo bwana
Mambo gani bana
Form gani sasa
Jambo jambo bana

Jambo jambo bwana
Rambo noma sana
Mambo gani bana
Tergat mi ni runner
Gifted mi ni santa
Eti hakuna matata
Buda hio ni kata
Cheki namba nane
Cheki mathare
Cheki ungwaro githurai 44
Cheki korogocho lunga lunga wamesota
Cheki mjengo randa mech waya
Buda nikubaya hizo hawaezifanya
Nowander sikuizi ka ni job ni sisi wanahaya
Wanatulipa half price
Nowander tunawasanya
Ati Kenya hakuna matata
Gava tunawakanya
Eh Jo gava jo bana acheni kutupima mavi
Mnafaa mkuje kibich muone
venye kenya kuna matata
GangGang!

Kenya hakuna matata
Kenya hakuna matata
Kenya hakuna matata
Kenya hakuna matata
Jambo jambo bwana
Mambo gani bana
Form gani sasa
Jambo jambo bana

Kenya hakuna matata
Ju tuko na wanyama
Zote zimededi ju tulizigeuza nyama
Walitufungia ndani sana bila nyundo tukahama
Walipanda wakishuka si bado tuko paha
Grind yangu ikajipa
Zao zote zika haha
Jambo Jambo bwana
Mbona umesota sana
Most wanted unatakikana
Kenya kuna matata
Hol'up Hol'up hol'up hol'up
Kenya kuna matatu
Levels pia ni tatu
1st class Middle class
Si hapo ndio wa tatu
Kuna wenye nchi
Kuna wananchi
Kuna serikali kuna sirikali
Buda kenya kuna matata
Eh manze jo, tunawajua
Tunawajua yaani next time nikishuka
Airport msinianzie hizo za ovyo
Kenya kenya kenya kuna matata

Kenya hakuna matata
Kenya hakuna matata
Kenya hakuna matata
Kenya hakuna matata
Jambo jambo bwana
Mambo gani bana
Form gani sasa
Jambo jambo bana

8TOWN
GANG GANG
Pizzo De King and You
Know it Know it Know it

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Written by: Henry Ohanga

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Hakuna Matata Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Hakuna Matata Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 30 Apr. 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/6656244/Octopizzo/Hakuna+Matata>.

    Missing lyrics by Octopizzo?

    Know any other songs by Octopizzo? Don't keep it to yourself!

    Watch the song video

    Hakuna Matata

    31,436
    1,367     0

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    "Bark at the _____" is a famous 80's heavy metal album from Ozzy Osbourne.
    A Canopy
    B Moon
    C Night
    D Sky

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Octopizzo tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!

    Movies soundtrack

    Hakuna Matata

    »