Karibu Home
Bamboo African Bantu
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Nilipo okoka nili kuwa na vitu mingi sielewi, siku jua kaa haufai kukuwa bar mi sipewi, siku jua kuna mtu kaa shetani sikudhani, kuna watu flani luminati yaani Siku jua kuna kitu kama pepo, na malaika walifkuzwa toka mbingu wako huku wana tafuta, yule hana mafuta yule ame chafuka, toto hadi kwa guka mi nishawai anguka alafu nika amuka Siku jua pepo Jezebelly anataka watu wazingue wasi jue ukweli Sikujua uokovu ni kuokolewa helli hawonyeshi telli kuna nabi matapeli Kazi jaza belly watu hawasemi Wanasema panda mbengu mavuno mtavuna sasa basi mbona usi ubiri njili Juma /-/Nani amekutuma? Ushaniskuma Verse 2 Hakuna aliye kuja kwake aka baki vile Karibu Unapendwa sana Wengine wana kudanganya ni mwingi wahuruma Karibu Hajawai mwacha wake anainua sana Nakwambia kweli Usikate tamaa rudi Unapendwa Karibu Ameinua wengi sana Hawezi kukuwacha Rudi Verse 3 Najua watu wako na maswali mingi kama mimi Hawaelewi kukuwa mkristo ni ku kuwa nini kwa nini amukunywi kwa nini amulewi? Kwa nini amudanganyi kwa nini amupewi? Kwanini mnaomba sana hivyo kanisani pole kama ni maswali mingi samahani Kumbe hapa kuna vita Na tuna pigania Kumbe God anakuita Na amevumilia Kumbe dhambi zinauwa Na kuzimu iko -> Na Shetani ana koroganga watu kama mwiko eeh! Kumbe Yesu yupo Na anakupenda Na ukimwita awezi kulenga ehh Kumbe ni Shetani mishale zilinigonga Kumbe haya magonjwa Yesu anaponya Onya Oh yeah
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Karibu Home Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 8 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/6986472/Bamboo+African+Bantu/Karibu+Home>.
Discuss the Karibu Home Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In