Wana Come Tena
Tonny Smallz, Slo-Motion
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Intro: Silta: Can’t stop thinking about this, stop thinking about this/ can’t stop thinking about this. Verse one: Tonny Smallz Hizi ma mili zenye ziko chini ya mapillow kwani ni za kina nani? / Wasema ongeza bidii wanapunguza zao tax kwani hao ni akina nani?/(nani) Anadunga mini ndi apate full payment juu ya akina nani? / (hat damn!) Wakamu tena, wana wana come tena/ Hata na kilami, kiswahili bado ni ile ile/ Majocker na makadi karata bado ni ile ile/ Na mapromise maji maji heri ya kinjeketile/Wakipokeza usukani kama reley/life inakupeleka marathon kule nje/ A penny can't afford a thought unaitaji finje/ Waki-adress utiaji kuna Ufisadi/ ufisi hadi/ ofisi ya haki/ wakisii husema gaki/ (gaki!) Malaptop na hawana windows ten kwa daro/ They study under the trees, you thought about that though? /na hapo walimu sijamention salo/wazazi sports pesa wanasaka karo/ Chorus Silta: Wana come tena wana wana come tena Wana come tena wana wana come tena (oh ooohh) Tonny Smallz & Silta Wana come tena wana wana come tena Wana come tena wana wana come tena (oh ooohh) Verse two: Tonny Smallz Nawacheki Kwa telly na vitambi/ na mangepa za rangi/ kwa mashizi badala ya rambirambi/ roundi baada ya roundi/ kisiasa wanatona rangi/Manyani wanachekana makundule namby pampy/ (Namby-pamby) Hiyo ni dhambi/ hiyo haimbambi/wacheni matani/Punguza bangi/huo ni uongozi gani/ (gani) watoto wenu kwani mnataka wafwate mifano gani/ Punguzeni pang'ang'a mkiwa hadharani/ama midimo mshone na cherehani/ Tao Wanakujanga na chopper/ (chopper) kwa city we hopper/hao wanakunywanga kahawa na view wewe vumbi soda/ (ah) Usiwahi sahau vile ulikuanga kaguu waki saka voter/ (ah) viatu zimetoboka CV na ashuu ya makate quater/(Raaah) Wanakula nyama wewe ni harufu/karafuu royko maradufu/ lakini harufu Ya managu bado managu/economy imekaza kamba kiuno siafu/ unataka ni-see half full glass na kwa soko thao haijazi kikapu/ (what?) / (Emphasis) unataka ni-see half full glass na kwa soko thao haijazi kikapu? / (nah) Chorus Silta: Wana come tena wana wana come tena Wana come tena wana wana come tena (oh ooohh) Tonny Smallz & Silta Wana come tena wana wana come tena Wana come tena wana wana come tena (oh ooohh) Verse three: Tonny Smallz: Haya basi skia ripoti Mlitaka change but hamkukataa noti (uh huh) kwa paa watu kadhaa mlijaa kwa moti/(yeah) Madready ma-goatee mlivaa maspoti/ Mbio mlifuata magari ni kaa mko roady Mkapiga Vigelegele wengine hadi magoti/ (ululations) Fast-forward 5 years hauna hata kodi Na change, ni mashilingi kwa mfuko wa koti/ Change ni ya juu juu ka kulipia njoti/ (groan/moans) Hapo ndio mlijuangusha so sahii mnabewbwa mafala/Skia uzito mkidandiwa kama dala dala/Si mlikubali ibilisi juu alijipaka mascara/lesson learnt huu mwaka lazima mkue Thorough/juu Watawanunulia vinywaji vikali/na kuwalewesha na maneno matamu hawanihatari/hawa niwakali/tena msikubali/ maneno ya heri nusu shari/ Kama bei ya sukari haikushuka/shtuka/ pandendi mbegu pasipo kauka/Usiwe mwenye pupa/ skia sera ni nini anakupa/kama ni upuzi ruka Interlude/Speech: Wanaichi, Wana inchi moja ya matress lakini bado wanalalia maskio. Nyinyi vipi nyinyi? Kidole kimoja hakivunji chawa jamaa. Tuungane pamoja maanake maji yakizidi unga, utajipata umekunywa uji wa mexico kisolo. Roundi hii… Roundi hii… (microphone reverbs as the speaker is thrown off stage) Raun- Chorus Silta: Wana come tena wana wana come tena Wana come tena wana wana come tena (oh ooohh) Tonny Smallz & Silta Wana come tena wana wana come tena Wana come tena wana wana come tena (oh ooohh) x2 Outrow Kua rada jamaa msidanganywe Chumba, Kimtai Tonny Smallz, Baba ya baba yao. Silta… (In a Kalenjin accent) We Jose, Nipe kama kawaida. Pesa ya campaign inakuja. Fade out.
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Written by: WILFRED MUJUZI
Lyrics © TUNECORE INC, Songtrust Ave
Lyrics Licensed & Provided by LyricFind
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Wana Come Tena Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 9 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/7056307/Tonny+Smallz/Wana+Come+Tena>.
Discuss the Wana Come Tena Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In