WAITE (feat. Salmin Swaggz, Blesser, Orbit Makaveli & Buju Millz)
Maddoh
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Maddoh yeah yeah Huku kwetu kimewaka waite, waite, waite Waite na na na na waite, waite, waite Huku kwetu kimewaka waite, waite, waite Waite na na na na walete, walete, waite Waite na na na na weh So nilikua naenda home kulala simu ikaita Naambiwa kuna chimbo flani, these niggas bumping the speakers I told em nipe, kama, 30 minutes, mi nafika Twende speed kama pipa, nije na Benz nije na pickup Na niko na wana kibao mistari kibao zinakata hiccups Hatuwezi kushindana nao, wengine ni hao ndo wanatapika I didn't come for the liquor, party mpaka kuniwika Pesa mtu anashika, sioni kilichoandikwa Waite waambie kumejaa kinoma Sionekani so nawapa special service ya kuniona Waambie ndani kumeshona anayebisha atakuja kuona Bitches dropping up in phases ka corona Waite waje kati kama vip yeeh Kula bata mwisho fainal uzee Usimlete demu wako kama mfukoni ushe ushe Tunakiwasha hata sheli feeling like Tunchy eh Nikitoa hizi bars kwa beat marapper wanapata wasiwasi Ukweli ni wazi ni kazi kuhit kupata nafasi ya dwasi Naitaki uniulize maswali ya kiwaki ya kwamba napata napata shing ngapi? Na ndipo utajua Whitedent ni dawa ya meno ama kwetu ni dawa ya mswaki When we flex with no mercy where we spend is full of cash Where we chill its all fresh put ur breathe on the desk How about the money is not case If you get noticed get lost don't be chased it's goin be worst Huku kwetu kimewaka waite, waite, waite Waite na na na na waite, waite, waite Huku kwetu kimewaka waite, waite, waite Waite na na na na walete, walete, waite Waite na na na na weh Started from the bottom now we here nigga Ride around the city with no fear nigga Haters wanadai najiskia nigga Kisa sina time I've been grinding every year nigga Pull up in a new beenz, with some new chains Big ass slim waist thats my new bae Got my drink in my two steps usiniguse Hizi stimu nmelipia rusha nikunyuke Staki dharau spendi ujinga Wakali wao kwangu makinda Hadi makwao mninja natimba Labda wanifunge tata madiba Vitu kibao nimeshatinga, mafia kama mkinga, na wanangu tunashinda I wish a nigga would, ili nipasue timber Huku kwetu kimewaka waite, waite, waite Waite na na na na waite, waite, waite Huku kwetu kimewaka waite, waite, waite Waite na na na na walete, walete, waite Waite na na na na weh Ogopa matapeli wana wapo OG Tushasahau kufeli siku hizi tupo kisomi From the hood Salasala boy kama hunisomi Ni Buju Millz bhana nigga you are already know me Aah, wana wameshawaka roll da paper Yeah aah, kutubu hakuna huku mwendo wa mateka Kuforce na force kazi kikosi mida ya kucheza Na wanangu wa nazi nazi Maddoh boy na Bobo fleva Look around nigga halafu hate it what u see Kimewaka wameshawasha tupo kwa TV So yeah yeah, day day, wild and Free Tuko pair pair dont even think to mess na me I'm in the mood man, I'm in the mood Eti hawatujui man, hawatujui Hivi hauko kwa news man, hauko kwa news Embu achaga upuuzi man, acha makuzi Huku kwetu kimewaka waite, waite, waite Waite na na na na waite, waite, waite Huku kwetu kimewaka waite, waite, waite Waite na na na na walete, walete, waite Waite na na na na weh
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"WAITE (feat. Salmin Swaggz, Blesser, Orbit Makaveli & Buju Millz) Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 29 Apr. 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/7091766/Maddoh/WAITE+%28feat.+Salmin+Swaggz%2C+Blesser%2C+Orbit+Makaveli+%26+Buju+Millz%29>.
Discuss the WAITE (feat. Salmin Swaggz, Blesser, Orbit Makaveli & Buju Millz) Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In