Jannah

Salim Ally

0 fans

Salim Ally


4:03
10 
#1

 Struggling with Jannah? Become a better singer in 30 days with these videos!

Mmmhhh Mmhhhh
Oooh Oooh
Ooh Ooh Ooh
Oooh Oooh
Mhhh Mhhh
Mi nikikaa
Nnafikiria
Mambo mazuri mola ulojaalia
Waja wa kheri utayowapatia
Kwenye Jannah
Mi nikikaa
Nnafikiria
Mambo mazuri mola ulojaalia
Waja wa kheri utayowapatia
Kwenye Jannah
Tunakuomba
Mola atupe pepo yako
Tunakuomba
Tupe na ridhaa zako
Tunakuomba
Mola atupe pepo yako
Tunakuomba
Tupe na ridhaa zako
Mazuri sana
Uliotuandalia
Katika Jannah
Pindipo tukiingia ooh oohh
Na ukasema
Sote utatupatia
Tulomwegama
Mtume wetu nabia
Ilahi Karima
Twakuomba sana
Tupe yako Jannah
Firdausi njema
Tuishi daima
Na Tumwa Hashima
Tupate salama
Na zako neema
Oooh ooh ooh ooh Aaah
Oooh ooh ooh ooh Aaah
Laaalaa
Umeeleza kwenye kitabu chema
Sifa zake hiyo Jannah
Wataishi humo daima waumini
Kisha ukaweka bayana
Umeandaa mambo Adhima
Basi tujitahidi sana
Waumini
Majumba yake
Mazuri yanavutia
Na mito yake
Maziwa asali pia
Na wanawake
Wazuri wa kuvutia
Mfano wake
Hawajawahi tokea
Tunakuomba
Mola atupe pepo yako
Tunakuomba
Tupe na ridhaa zako
Tunakuomba
Mola atupe pepo yako
Tunakuomba
Tupe na ridhaa zako
Ilahi Karima
Twakuomba sana
Tupe yako Jannah
Firdausi njema
Tuishi daima
Na Tumwa Hashima
Tupate salama
Na zako neema
Oooh ooh ooh ooh Aaah
Oooh ooh ooh ooh Aaah
Laaalaa

 Struggling with Jannah? Become a better singer in 30 days with these videos!

Written by: Salim Iddi

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Jannah Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Jannah Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 28 Apr. 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/7184269/Salim+Ally/Jannah>.

    Missing lyrics by Salim Ally?

    Know any other songs by Salim Ally? Don't keep it to yourself!

    Watch the song video

    Jannah

    13,178
    72     0

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    Who of the following is not a Dutch rapper?
    A Lil Kleine
    B Snelle
    C Kraantje Pappie
    D Lars Vaular

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Salim Ally tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!