Madawadawa

Shackym Olesan

0 fans

Shackym Olesan


3:26
#1

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Eyoh Vibskil
Shackym Addisan
Olehigh
Madawadawa tu
Madawadawa tu

Tuko madawadawa dawa dawa dawa
Hatuko sawasawa sawa sawa sawa
Tuko madawadawa dawa dawa dawa
Hatuko sawasawa sawa sawa sawa

Tuko madawadawa dawa dawa dawa
Hatuko sawasawa sawa sawa sawa
Tuko madawadawa dawa dawa dawa
Hatuko sawasawa sawa sawa sawa

Ata kaa siko ofisi niko busy busy
Me hutulia kwa zabe tu na walanguzi
Wee weka sheria nilete mapinduzi
Na me nageuzanga ata nikiwa dizzy dizzy
Mashavu ndani ya shamba yoo salam aleikum
Kawada nishapanga doba nayo boom boom
Ni mrasta tu Nita-deady kaa sadam hajai ni-bomb
Bado me mkawaida natesa ma-bedroom
Najua mnani-seduce muone nini me na-use
Marry jane siezi kuseti naogopa kuku-loose
Nisha-blaze up niko mamsokoto
Jela haiezi nichipo ata kaa niko tomatoe

Tuko madawadawa dawa dawa dawa
Hatuko sawasawa sawa sawa sawa
Tuko madawadawa dawa dawa dawa
Hatuko sawasawa sawa sawa sawa

Tuko madawadawa dawa dawa dawa
Hatuko sawasawa sawa sawa sawa
Tuko madawadawa dawa dawa dawa
Hatuko sawasawa sawa sawa sawa

Niko high nikaa me ni helicopter
Daily tei na me sidaingi chaser
Hawanidai kwa bash ati me ni tanker
Hawajui ma-yens ni me naletanga
Kama moi kwa pesa niko kwa rizla
Badboy nalisha wengi ma-peddler
Slender na bado mimi ni guzzler
Kata waba nyonya shada seti wada
Nipate pangani nikisaka majani
Later kejani ku-blaze shashamani
Acha hizi vitu nikule kwa amani
Nikose wazimu nishikwe na nini

Tuko madawadawa dawa dawa dawa
Hatuko sawasawa sawa sawa sawa
Tuko madawadawa dawa dawa dawa
Hatuko sawasawa sawa sawa sawa

Tuko madawadawa dawa dawa dawa
Hatuko sawasawa sawa sawa sawa
Tuko madawadawa dawa dawa dawa
Hatuko sawasawa sawa sawa sawa

Si mnajuanga me nakuanga hustler
But pia me huitwa sonko nikifika kwa peddler
Kaa ni mbogi me hu-role na ma-guzzler
Na ikifika kamare me number one gambler
Twende roundy nikupeleke na rieng
Niku-show mtaani ma-peddy hutepa my brain
Mbogi me hu-chain haiwezi toshea kwa train
Na hawaezi legalize sabu pingu hazita-swing
So... kaa nimetulia nakula mavitu zangu
Hapana kakaribia kama wee si type yangu
Sauti ya laana itashindaje dawa nguvu
Tena kaa ni mbaya ulijuaje acha wivu

Tuko madawadawa dawa dawa dawa
Hatuko sawasawa sawa sawa sawa
Tuko madawadawa dawa dawa dawa
Hatuko sawasawa sawa sawa sawa

Tuko madawadawa dawa dawa dawa
Hatuko sawasawa sawa sawa sawa
Tuko madawadawa dawa dawa dawa
Hatuko sawasawa sawa sawa sawa

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Written by: David Mulinga, Geoffrey Lilau

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Madawadawa Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Madawadawa Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 7 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/7304073/Shackym+Olesan/Madawadawa>.

    Missing lyrics by Shackym Olesan?

    Know any other songs by Shackym Olesan? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    What is the Outfield's most popular song according to Last.fm?
    A All the Love in the World
    B Since You've Been Gone
    C Say It Isn't So
    D Your Love

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Shackym Olesan tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!