Tenda Jambo
Rozinah Mwakideu
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Eeh eeh eeh eh Tenda jambo oh Waone eeh Kuwa wewe yesu uuh Waweza Tenda jambo oh Watu wote wajue ooh ooh Tenda jambo ooh Yesu yesu yesu ooh ooh Leo tu sio kesho Leo sio kesho oh Niko hapa uko hapa Hakuna wa kuzuia Maneno yako nimesikia Ya ajabu na ya kushangaza Sasa nataka kushuhudia mwenyewe eeh Tenda jambo waone eeh Kuwa bwana waweza aah Kote ujulikane eeh Mungu wa miujiza Tenda jambo waone Kuwa bwana waweza aah Kote kote ujulikane Mungu wa miujiza Tenda jambo waone Kuwa bwana waweza aah Kote kote ujulikane Mungu wa miujiza Hakuna lililo gumu kwako ooh Mbingu na nchi vyote Ni vyako ooh Mwenye nguvu ni wewe Wa mamlaka ni wewe Ni wewe eeh Umeshasema mwenyewe eeh Ooh ooh Mwenye nguvu ni wewe Ni wewe Wa mamlaka ni wewe Ni wewe Umeshasema mwenyewe baba Eeh eeh eeh Tenda jambo waone eeh Kuwa bwana waweza aah Kote ujulikane eeh Mungu wa miujiza Tenda jambo waone Kuwa bwana waweza aah Kote kote ujulikane Mungu wa miujiza Tenda jambo waone Kuwa bwana waweza aah Kote kote ujulikane Mungu wa miujiza Tazama nangojea Majibu kupokea Ni wewe pekee nakutazamia Mungu mwenye uweza aah Tazama nangojea Majibu majibu Ni wewe pekee nakutazamia Ooh mwenye uweza Tenda jambo waone eeh Kuwa bwana waweza aah Kote ujulikane eeh Mungu wa miujiza Tenda jambo waone Kuwa bwana waweza aah Kote kote ujulikane Mungu wa miujiza Tenda jambo waone Kuwa bwana waweza aah Kote kote ujulikane Mungu wa miujiza
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Tenda Jambo Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 7 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/7602423/Rozinah+Mwakideu/Tenda+Jambo>.
Discuss the Tenda Jambo Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In