For Real
LS97Lifesong
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Yeah yeah yeah We go by the name Uh uh Nine Seven LS Rapsafi Tulianza huu mchezo kitambo Sindo ma fundi wa hii mambo Hatu fanyi Fanyi juu ya fame Tuko serious na hii game We respect our name Ye ye ye ye Ma negga wengi wako fake Deal zao pombe na wanawake Wanataka upoteze focus safari yako usifike Walio paswa kutu Saidia Ndio wanao wanao tuzuwiya nziya Usi cheke cheke na kila Mutu Binadamu wengi wana roho za kutu Tusha fuga ma kondoo zika geuka ma simba Huu siyo tuu wimbo ni ukweli naimba Kwenye Maisha Kuwa Makini Kila Miujiza usi amini Ye ye ye Sometimes tuna kwama Tunaanguka tuna simama Tuna force kuendelea Hakuna kusingizia Tuna tamani tufanye vitu vikubwa lakini tuna kosa uwezo Mungu bariki wanao tu sapoti toka tuanze huu mchezo One day tutafika Mambo yata nyooka Tell me what you see when you look at me Utaona champion, hustler usicheze na mimi Nime kwepa mishale mengi ili nifike hapa Kwenye muziki nina wajukuu , nina watoto wanao niita papa Tulianza huu mchezo kitambo Sindo ma fundi wa hii mambo Hatu fanyi fanyi juu ya fame Tuko serious na hii game We Respect our Name Ye ye ye ye Myaka tisa sasa na hustle Najiona Mr mateso Nime change na chana commercial Pesa ita panguwa jasho Kuna muda na katishwa tamaa Mpaka na tegwa na jamaa Eti hai lipi hii sanaa Sasa kwa nini na chana Hii dunia ina watu wengi Tuna tafautiana rangi Kazana kivu yako Jenga future yako, my ndeko Kila kitu kuki pata imekuwa ngumu ngumu Na kaza kaza hai ishi majukumu Mawazo mengi ina nipa wazimu Hadi nawazo wa kwenda kuzimu Kuna muda naji hisi kuliya Moyo ume jaa vidonda naumiya Sina baba , sina mama nimeshindwa zoweya hii hali Eeh mungu wama yatima ni epushiye hii ajali Tuna Weka nguvu nyingi kufikisha Goma juu Ila Goma haitu taki inatu piga chini tu Okay okay hakuna shida tatizo ni Muda Na hayo yata pita tuko mbio kama cheetah Paulo na sila waliomba milango wao uka funguka mimi na Lameck tuta imba mpaka siku tuta toka Praaah praaah praaah Yeah yeah yeah Ai yaya Ai yaya Ai yaya Yeah yeah yeah
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Written by: Étienne Mupenzi, Robert Rubenga
Lyrics © DistroKid
Lyrics Licensed & Provided by LyricFind
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"For Real Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 7 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/7680051/LS97Lifesong/For+Real>.
Discuss the For Real Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In