Mpenzi
Abdallaza
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Uhhhhh Ahhhhh Weeeeh Wendo nikupenda penda Pepepeee Wendo mpenzi nikupendae Wmengine achana nae (Achana nae) Hivyo basi nielewe (Yeah) Tuwe pamoja me nawee Wendo mpenzi bikupendae Wmengine achana nae (Anh) Hivyo basi nielewe (Yeah) Tuwe pamoja me (Yeah) Nawee (Eehwe) You got power you got sound You Got Move Ma Boo Ukipita kwenye mtaa wateka Wengi ni true Kweli we ndio super number one boo Nakama Kuna Compee Bado Sijaiona Doo Napenda Nikutoe Out Beach Za Majuu Ama Nkununulie Gari Usitembee Kwa Mguu Twende Kila Sehem Nakufanya Makuu Nayoyote Anae Kuudhi Mtwange na Kungfu We Ndo Queen Yani Super Full Of Love Zawadi Nini nini That's What You Deserve When I See You, You affect my nerves That's Why Najua Kwenye Life nita Ku Serve We Ndo Queen Yani Super Full Of Love Zawadi Nini nini That's What You Deserve When I See You, You affect my nerves That's Why Najua Kwenye Life Yani nita Ku Serve Wendo Mpenzi Nikupendae Wmengine Achana Nae (Wachana Nae) Hivyo Basi Nielewe (Yeah) Tuwe Pamoja Me Nawee Wendo Mpenzi Nikupendae Wmengine Achana Nae Hivyo Basi Nielewe Tuwe Pamoja Me Nawee (Eehwe) Verce yangu Ya Pili Bado Me nakusifia Umepewa Macho Mazuri Yale Yakusinzia Figa Namba Nane Nilokua Naiwazia Hata Nkakuona Malaika Kwenye Hii Dunia Mzuri Ka Beyoncé Ila Umemshinda na Mwanya Figa Yako Yani Tamu Ukiilinganisha Rihanna Sauti Ka Ya Nyota Ila Yako Nyororo Sana Ndomana Fanya Lolote Yani Niwe wako Bwana Sitojali Utanipa Love ama Utataka Pesa Bora Nikiwa Nawe Kila Sehemu Utatesa Stay Na Whyne P Yani Life Bila Presha Hata Haters watamani Yani Mate Tu Kumeza Kujuana na We That's Fab Nlishukuru Kwajumba La Upweke Ni Wazi Ulini Nusuru Hata Ukinitusi Sitamind Haito Dhuru As Long Niko Na Wee Najua UtajiFeel Huru Wendo Mpenzi Nikupendae Wmengine Achana Nae (Wachana Nae) Hivyo Basi Nielewe (Yeah) Tuwe Pamoja Me Nawee Wendo Mpenzi Nikupendae Wmengine Achana Nae (Anh) Hivyo Basi Nielewe (Yeah) Tuwe Pamoja (Yeah) Me Nawee (eehwe) Your The One That I Need In My Life For Sure Ulipo Fika wewe Sio Girlfriend You My Wife My Super Duper Queen You Took away My Heart Umenituliza Makini Hadi Siyumbi Mtanashati Wendo Mpenzi Ulo win Langu Pendo Mwengine Achana Nae Usiskize Zao Scandal Listen Ma I'm Your Number One Fan Kama Kama Ben Pol NimeFall Me kicha wendo doctor you gave me control Yeah As you bishakutana na madem kibao Sijali uzuri wao nafanya yangu Kazi Wala sina mpango nao So Usiteteruke Moyo Wako Uteseke Moyoni (Iweee) Usiku Wa Manane Unapo Lala Pekeo (Moyo Usiteseke) (Moyo Usiteseke) Nimem Kiss Penginepo Kwenye Video Tumeimba Nyimbo Za Mapenzi Na Nyota Ndogo Umejenga msimamo kwako Weeh Wendo wangu mtazamo eco Weeeh Nmejenga msimamo kwako wewe Wendo wangu mtazamo eco Baby (Iiiiih oh oh oh yeah) Yeah Anhh It's producer baindo Is the bigfoot production Yeah It's whyne p and pata flavour Anhh Abdallaza Yeah EdiBoy Hahaa (Yeah)
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Written by: Abdalla Chidyanga, Whyne P Cmb
Lyrics © DistroKid
Lyrics Licensed & Provided by LyricFind
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Mpenzi Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 18 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/7874366/Abdallaza/Mpenzi>.
Discuss the Mpenzi Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In