Free
Paulo Wenchez
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Ukisota Sana uza figo Deal ikiivana Sana kuwa jicho Bill zikipanda Sana kuwa dingo Skill ikishuka Sana change hiyo stingo Niko na kesi kwa korti namurder beat Your honour I'm guilty naona nyundo ushabeat,kwa corner Naketi na pedi namedi nameditate Na daily nachase it no resting sihesitate Mjinga mjanja ni genius kwa Fala flani ndo maana daily ukicall mteja hapatikani Mjinga mjanja ni genius kwa Fala flani ndo maana daily ukicall mteja hapatikani Mashida zangu ni zangu Mashida zako si zangu Kairetu kangu ni kangu kairetu kako ni ketu Shughuli huku ni mingi shughuli yako muhimu Ye, shughuli yako muhimu It's a free world Piga nduru kwa matatu it's a free world It's a free world Piga luku bila pesa it's a free world It's a free world Zungusha kiuno mbele ya watu it's a free world It's a free world Anza KAZI pata pesa it's a free world Unatafta kiki kama umebeba tu car keys Hiyo gari ni ya nani najua iko na masharti Umedunga kashati alafu chini ni kaki Unatisha nani sitambui mababi Umesota sana mpaka tao hufiki Wengine wako mboka we ukitafta kiki Hii life ni tricky kusaka ni dhiki Utadhani ni chuki lakini ukweli huudhi Heshima Ka nayo hiyo yako sitaki Ligi unajaribu si unajua hufiki Sheria ni moja ngangana ndo upate Masharti ni yangu si lazima uyafwate It's a free world Piga nduru kwa matatu it's a free world It's a free world Piga luku bila pesa it's a free world It's a free world Zungusha kiuno mbele ya watu it's a free world It's a free world Anza kazi pata pesa it's a free world Ye
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Free Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 24 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/7948048/Paulo+Wenchez/Free>.
Discuss the Free Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In