Hamu (feat. Boblim)
LD The Rapper
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Mi na hamm Mi na hamm Mi na hamm Mi na hamm Wanangu hamu imenizidi mpaka naona noma Usiku ndoto za ajabu ajabu me zinanisonga kila nikilala nikiamka lisha mwaga bomba Hamu ikinizidi naenda bafuni bana kuoga Hamu yangu bana haielezeki Nataka story zangu daily ziwe kwa Gazeti Nipate pisi kali initongoze mbona fresh Maisha mtani skuizi yashanitesa sina chenchi Mi nahamu niwe star nijichubue Nipate demu ka MIMI na tuzo nichukue Na baada ya wiki mbili mbili tu Mtoto anizingue Niweke bango lake mtani kama upendo ili atambue Mi na hamu Naimenizidi ham Kutamani tamani vingine sivifaham Minaham nipate rundo la wapenzi Ila tatizo moja bana kutongoza ndo siwezi Mi na hamm Mi na hamm Mi na hamm Mi na hamm Mina hamu hamu yangu muitambue Mana ham niliyonayo hamuwezi kuwa nayo nyie Hamu bana zina changanya akili sana Kuna muda zikizidi natamani minilie Ham ndoinafanya tunagombana Ham ndo inafanya kwenye maisha tunachukiana Ham ndo inafanya kwenye mziki tunabaniana We hutaki niwe nacho mm kweli baniani mbaya Kula gambe ham Kula mitungi ham Kudanga danga Kujiona mwamba Kutaka bwana Kuwa pisi kali Kuna ham zinginebana kutwa Khoo khooo khooo Mi na hamm Mi na hamm Mi na hamm Mi na hamm Mwenzako mina Ham Ham ham ham ham Ham ham ham ham Mwenzako mina ham Ham ham ham ham Ham ham ham ham Kula gambe ham Kula mitungi ham Kudanga danga Kujiona mwamba Kutaka bwana Kuwa pisi kali Kuna ham zinginebana kutwa Khoo khoo khooo
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Hamu (feat. Boblim) Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 1 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/8140835/LD+The+Rapper/Hamu+%28feat.+Boblim%29>.
Discuss the Hamu (feat. Boblim) Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In