HipHop (feat. Sam Kisser)
GurúMC
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
GuruMc Naswali kwako mrembo wangu naye kupenda Hivi ni kweli bado unanipenda hutonitenda Maana nilichelewa kutambua nakupenda Si unajua utoto mwingi apo golini na machenga Nilianza kupenda ndo kwanza sijabalehe Mama hakupenda kuniona nkitoka mimi na we Cha ajabu hukunitenda kwa siri ukaja tuonge Mama anakupenda kweli ila penzi wacha Tushare Miaka ikapita ata sijui njia gani Skendo ikatoka eti unawalisha mamijan Mara wengine unga kweli wewe kisirani Ila bado nakupenda ivo ivo kwani gani Niliwatolea mademu waloleta shobo Hawakujua kuwa na demu mtoto wa kigogo Demu mwenye figure demu flani asiye na nyodo Ila paka leo sijui ka nibonge ama model Nachomsifu huyu demu sio kicheche Hazuzuki na pesa majina wala uchebe Hazungukwi na wenye fitina wivu na wenge Pigo zake na mabeat mamtoni ama vilinge Nilimkuta na Nash pale KINASA Anavyopenda shule akatoka na Darassa Mara Fid Songa Killer mpaka Nacha Na anasema tupo wengi anatupenda mpaka sasa Mwisho wa mwezi Arusha anakwenda SUA SAUTI YA MTAA kwa NextTz alitua Anapenda kwenda mwanza GOGOVINU c mnaijua DDC CHIMBUKA yan Dom city anaijua Namshangaa Madee kusema demu halipi Anachosema demu madee hamridhishi Akamwambia waachane ili mambo yawe fiti Mr Blue akasikia akasema baki na mimi Chaka kila chaka niko naye staki kumpoteza yeye Anavowakawaka noma Ilo body lake choma Niko naye kila kona Say Ei ebwana nomaaa yeeye nomaa yeeye Ebwana nomaa yeeye nomaaa yeeye Ebwana nomaa yeeye (Minatapa nkiwa naye) nomaa yeeye (Ananifany wanikome) Ebwana nomaa yeeye (Me nang'ara nkiwa naye) nomaa yeeye (Kila kona wanisome) Marekani alitumika vizuri akaleta uhuru Watu weusi heshima ikapanda wakawa huru Amekua ajira vijana kawanusuru Kweli na demu bora usimfananishe na lulu Kazi zake ni nyingi uyu demu anawakilisha Jamii nzima paka mademu anawafundisha Kuhusu biashara siasa maisha ana elimisha Rika zote anamisingi ase usije pindisha Akitumika vizuri huwa anasema ukweli Hafichahi mabaya cha msingi uwepo ready Nakumbuka kaka Roma alichofanywa kudadek Dunia nzima inamtambua huyu demu ni mdediri Popote anapofika wanakaa wanahanya Maana sivyo alivyoumbika yani vitu anavyofanya Uwezo wa kubadili yana hasi kuwa chanya Dakika moja ty ukimpa anaweza akateka kaya Vingi ni wingi na vingi vyake vigingi Usiku na mchana kazi na kazi kazi zake ni nyingi Siku na wiki ngazi to ngazi anapanda kingi Na cha ajabu hapandi dau nachomsifu huwa havimbi Bunduki risasi kama haipo basi ovyo Mikuki mikasi usilete izo local Na speed ni kasi usidanganywe na machoko Ni maneno yake huwa ananamby tukiwa chocho Unashangaa nini uyu demu wetu sote Moyo wake hauna kimo ukitaka twende wote Maana bado anawahitaji chipukizi kama wote Na wote tuseme sasa Hiphop kote Chaka kila chaka niko naye staki kumpoteza yeye Anavowakawaka noma Ilo body lake choma Niko naye kila kona Say Ei ebwana nomaaa yeeye nomaa yeeye Ebwana nomaa yeeye nomaaa yeeye Ebwana nomaa yeeye (Minatapa nkiwa naye) nomaa yeeye (Ananifany wanikome) Ebwana nomaa yeeye (Me nang'ara nkiwa naye) nomaa yeeye (Kila kona wanisome)
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"HipHop (feat. Sam Kisser) Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 30 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/8480323/Gur%C3%BAMC/HipHop+%28feat.+Sam+Kisser%29>.
Discuss the HipHop (feat. Sam Kisser) Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In