Vita (feat. Black_S Balume)

Davakonofficial

0 fans

Davakonofficial


4:30

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Myaka mingi imepita
Congo tuliliya askari na raiya
Walikufa zaidi ya miya
Yote kwa sabu ya vita usiku na
Mutchana inayo sababisha
Ubakaji kwa wasijana
Sitakubali ni nyinyi munajitapa
Eti congo tuna mali
Mali ya wa kongomani
Inatukosesha amani
Mukongomani nina imani
Lakini sipate amani
Waliyotaka amani
Walikufaka zamani
Vita haiishe kila kona tunaisha
Wale tuliyo pitisha ndo wale
Wana tutisha wana tuitikisha
Kila saha kutulilisha mbona
Mali ya congo munataka
Imalizisha eh mkongomani
Unaanza kimbiya congo
Sababu ya izi vita
Dawa ya moto ni moto
Kama kunashida lazima
Tulitatuwe mimi nawe tuikale
Tufikiriye vipi tutapata amani
Nalini vita itakwisha
Akili njo mali tutumiye akili
Ili tupate amani
Mungu walaze pema walio
Tutanguliya wengi waliuwawa
Sababu ya vita za congo
Nikikumbuka nabaki najililiya
Matchungu ninayopata
Siwezi kubaki kimya
Bega kwa bega twende
Tugombowe congo

Twasema mwatche vita
Wakongomani sasa sisi
Tunalia juya amani apa kwetu
Congo hasahasa ndani ya
Nord kivu nzima now
Sema mwatche iyi vita
Wakongomani sasa sisi
Tunalia juya amani apa kwetu
Congo hasahasa ndani ya
Nord kivu nzima now

Kinatcho tutesa kwenu
Ni aina nyingi za vita
Vita zajbakaji vita zaubaguzi
Vita za asi zinaleta wasi wasi
Na vita za policy kunyanyasa
Kila usiku kitambulisho
Ishageuka télephone mbona
Policy wa kwetu
Munazaraulisha jeshi
Mutchungazi mwema anatchunga kondolo zake
Ona hamututchunge beni biko
Natu tchinja kukula ruahwa
Njo mulisha tiya mbele
Hamupendi bigana ili congo
Isonge mbele wapenda amani
Tuatchane na hizi vita kila
Mutu apiganishe ili congo
Ibadilike black s fanya hange
Utakufa seraphin
Bora naminikufe lakini sita
Kubali congo yetu ipoteye
Habari ndo hiyo sitatchoka
Nakusema kabla ningali
Muzima congo itabaki congo
Congo ya babu zetu Congo
Ya ndugu zetu tunataka ibadilik
Mistari yangu kali inagusa
Watu wabaya na bado
Sijatchoka muta niona mimubaya bila mungu wangu
Kwa kweli misita tumu
Sababu yakweli yangu wengi
Wata nihukumu napenda
Congo ndomwana naiteteya
Congo yetu nitajiri wakaaji
Ndo makabwela sitasema
Mengi ili nisiende jela

Twasema mwatche vita
Wakongomani sasa sisi
Tunalia juya amani apa kwetu
Congo hasahasa ndani ya
Nord kivu nzima now
Sema mwatche iyi vita
Wakongomani sasa sisi
Tunalia juya amani apa kwetu
Congo hasahasa ndani ya
Nord kivu nzima now

Eh mkongomani nasema sasa
Simama sote kwa mawazo ya
Kubadilisha congo
Journaliste wate naomba
Musifazaike najuwa muna
Uwawa sababu yakusema kweli
Kweli ni kweli naitabaki kuwa
Kweli darubini kali naomba
Muzidi kutiya mukazo unataka
Leo congo yetu ibadilike
Ka kivu niketu siyo kajirani
Zetu mwenye masikiyo na hisi
Amesikiya nawale adui zangu
Naomba wani samee mimi ndo
Black black seraphin pamoja na
Davakon namini hatuta
Shindwa

Twasema mwatche vita
Wakongomani sasa sisi
Tunalia juya amani apa kwetu
Congo hasahasa ndani ya
Nord kivu nzima now
Sema mwatche iyi vita
Wakongomani sasa sisi
Tunalia juya amani apa kwetu
Congo hasahasa ndani ya
Nord kivu nzima now

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Written by: Kasereka David

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Vita (feat. Black_S Balume) Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Vita (feat. Black_S Balume) Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 7 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/8633580/Davakonofficial/Vita+%28feat.+Black_S+Balume%29>.

    Missing lyrics by Davakonofficial?

    Know any other songs by Davakonofficial? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    "And let me feel it isn't real that I've been losing you."
    A Dan Byrd - Boulevard
    B Vince Gill - I Still Believe in You
    C Stevie Wright - Evie
    D Raissa Anggiani - Losing Us

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Davakonofficial tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!