sababu

Socrate so great

0 fans

Socrate so great


4:29
#1

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Nina sababu yakulisifu jina lako
Nina sababu yaku kutapa wewe eh
Nina sababu yaku kuimbia ah
Ume fanya mambo ya ajabu kwetu

Nina sababu yaku tukuza jina lako
Nina sababu yakushuka utukuzwe
Nina sababu yaku kujivunia wewe
Wewe ni Mungu mzima usiye shindwa

Una nipandisha
Utukufu hadi utukufu baba
Una nibariki
Ni ingiapo hata nitokapo baba
Na uzidi kuni pandisha oh
Utukufu hadi utukufu baba
Na uzidi kunibariki yeh eh
Ni ingiapo hata nitokapo baba

Ume panguza machozi yangu
Ume panguza ah

Umeficha aibu yangu
Hu hu hu huuuu

Ume samehe thambi zangu
Ume thamini kazi yangu
Ume chukua mzigo wangu
Ohh oh oh oh oh oh

Umesikia maombi yangu
Umerudisha heshima yangu
Ohhh oh oh oh oh oh

Nani mwengine wakutukuka isipo kuwa wewe
Hakuna mwingine
Wewe
Hakuna mwingine
Weh wewe

Niwewe unaye tetea wale wasiyo jiweza
Hakuna mwengine
Hakuna mwengine
Hakuna mwengine
Hakuna mwengine

Hakuna Mungu mwengine aya sikiaye maombi yetu
Hakuna mwengine
Aya jibuye
Hakuna mwengine
Isipo kuwa wewe

Anaye tupea nguvu mpya tukiwa chini ih ih
Hakuna mwengine
Niwewe
Hakuna mwengine
Mungu wa Eliya ah ah

Nina sababu yaku tukuza jina lako
Nina sababu yakushuka utukuzwe
Nina sababu yaku kujivunia wewe
Wewe ni Mungu mzima usiye shindwa

Una nipandisha
Utukufu hadi utukufu baba
Una nibariki
Ni ingiapo hata nitokapo baba
Na uzidi kuni pandisha oh
Utukufu hadi utukufu baba
Na uzidi kunibariki yeh eh
Ni ingiapo hata nitokapo baba
Oh oh oh oh oh oh

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Written by: Binja Hemba

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the sababu Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "sababu Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 3 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/8669750/Socrate+so+great/sababu>.

    Missing lyrics by Socrate so great?

    Know any other songs by Socrate so great? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    Which DaBaby album has the following cover?
    A Blame It on Baby
    B Baby Talk 5
    C Kirk
    D Baby on Baby

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Socrate so great tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!