Karibu Tanzania
Voice of Maasai, Attu Medicine, Zungu Pori
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Class of 2019 to 2022 Tanzania/ Bongo kuna kila kitu dunia ina hitaji/ Milima na mabonde maporomoko na ardhi/ Kuna misitu na wanyama wabongo tuna hifadhi/ Maziwa na bahari mito samaki na maji/ Na tu ituitunze tu ilinde nchi yetu tuipende/ Uchumi tuukuze anasa tusitende/ Na watoto mashuleni tamaduni muwafunze/ Ili dini wazitukuze mwisho wa ujana ni uzee/ Tuwahabarishe kuhusu hadithi za mkwawa/ Kabla mjeru haja retire huku vita ya majimaji/ Mzungu anaitaka himaya wapate ijui pia/ Maana hatuwezi songa mbele bila nguzo ya historia/ Wacongo na waarabu na mahusiano ya lugha/ Na movement kubwa ya sultan Kuja unguja/ Livingstone alichunguza historia tangu kale/ Dr Leakey na mke wake walitafiti mali kale/ Tanzania ni mama na mimi ni mwana pia, Tanzania nchi nyingi Africa umezikomboa , Tanzania amani uliyo nayo tunajivunia Wageni karibuni hakuna matata nina waambia Tanzania ni mama na mimi ni mwana pia, Tanzania nchi nyingi Africa umezikomboa , Tanzania amani uliyo nayo tunajivunia Wageni karibuni hakuna matata nina waambia Karibu Tanzania, Nchi yenye amani na kuvutia Uki karibia, Ukirudi kwenu utasimulia Vikao vya bunge ni Dodoma,mikataba ya ki serikali/ Chamwino ikulu na hii ni baada ya kuhama Dar/ Ila usisahau tendaguru ,fika makumbusho ya Taifa/ Kisha zuru tembelea kuna historia ya makabila/ Na urithi wa mtanzania,iliyo sheheni iliyoenea/ Nchi hii ni ya kuvutia hata kwa wawekezaji pia/ Wawe wakubwa ama wadogo, ma mkarimu/ Fuata sheria na msisite kuingia tena kwa asilimia mia/ Kuna viwanda vya chai, kahawa, katani mpaka bia/ Na sina budi kuisifia,ndani ya mipaka tunayo iangalia/ Kuna utajiri wa ardhi na madini tumejaliwa/ Haina ubishi Tanzania ndio eden ya dunia/ Iko located kwenye equator ila cha ajabu/ Kilimanjaro kuna barafu , haina ubishi ni maajabu/ Pita YouTube subcribe Millard Ayo/ Utakutana na suluhu ya watanzania royal guide Mama Samia/ Am so happy kuwa mtanzania/ Wageni karibuni mjionee/ Mfurahie upendo wetu/ Tanzania ni mama na mimi ni mwana pia/ Tanzania nchi nyingi Africa umezikomboa/ Tanzania amani uliyo nayo tunajivunia/ Wageni karibuni hakuna matata nina waambia/ Tanzania ni mama na mimi ni mwana pia/ Tanzania nchi nyingi Africa umezikomboa/ Tanzania amani uliyo nayo tunajivunia/ Wageni karibuni hakuna matata nina waambia/ Yo Zungu Pori Repping down Mo Town/ KARIBU TANZANIA
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Karibu Tanzania Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 7 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/8948391/Voice+of+Maasai/Karibu+Tanzania>.
Discuss the Karibu Tanzania Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In