Dear God

YP

0 fans

YP


 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Nimezarauliwa
Nikanyanyaswa
Mwisho apo nikatupwa mimi
Ndipo apo ukaniokota mimi
Mimi mwenye roho mbaya
Ya kila aina Ndipo apo umeniokoa
Ukanileta katika uzuri wako
Kila nacokifanya naamini roho yako
Inaniongoza pale pote napokwenda
Wengi wanakula time
Istoshe wana eat nyama choma
Wakati mimi niko kwenye kona
Siamini yangu maco
Kanisani wanajifanya kondoo
Japo wa-wanafica makuca
Hii kweli nomaa
Wengi tunakwisha
Apa na pale tunabaguwana
Katika haya maisha
Chanzo sisi kucukiana
Kwanini tusiwe na umoja
Kwakuwa Mungu ni umoja
Tunapo pungukiwa
Unatubariki Baba mwenye heri na riziki
Baba mwenye heri yeah
Heri na riziki

They try to put me down, but I still arise
They try to put me down
But I still arise

Baba wewe mwenye sifa
Baba wewe wa taifa
Nimekuwa mzaifu
Sijui vipi nikusifu
Baba aliye hai
Mweye nguvu
Ningekuwa wapi kabisa
Cini ya hii dunia singeweza
Baba mwenye njia
Uliye pokeya mweu
Mwenye ucafu
Ukanifanya mkamilifu
Popote pale nakutegemeya
sina sehemu nyengine ya kuegamia
Nani mwenye roho kama yako
Popote pale naona love yako
Wewe ndiye wakuabudiwa
Wewe ndiye wakuabudiwa

 Struggling with Dear God? Become a better singer in 30 days with these videos!

Written by: Daniel Nwosu Jr.

Lyrics © CREATE MUSIC

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Dear God Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Dear God Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 17 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/1645303/YP/Dear+God>.

    Missing lyrics by YP?

    Know any other songs by YP? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    "Are we human, or are we _______?"
    A denser
    B dancers
    C densers
    D dancer

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    YP tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!

    Movies soundtrack

    Dear God

    »