Muziki

Imote Jay

0 fans

Imote Jay


4:00
#1

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Kwanza before nianze wacha niji introduce
Naitwa imote jay duma mdogo wake chui
Acha niwaeleze muziki mi sijaanza juzi
Nilianza utotoni enzi za maziwa ya moi
Ah we unakumbuka yale maziwa ya moi
Yalifanya shuleni tusitoroke
Tulikunywa tukalamba hadi vidole
Popote ulipo moi mungu akuweke
Walolonga walisema muziki dawa
Inatibu zaidi ya doctor mganga
Mikono juu nione yule anayepinga
Enhe nani anayepinga
Muziki tamu yaani kuliko vanila
Inalewesha kuliko toti za tekila
We mwenyewe tayari kichwa unatingisha
Ukisikiza vile biti linadunda
Basi rusha mikono zungusha kwa hewa peleka kulia kushoto
Shaku shaku socco twende zangalewa ukitaka tingisha kiuno
Ah kata
Kata
Kata kitaratibu
Kata
Kata
Kata kitaratibu
Ah kata
Kata
Kata kitaratibu
Kata
Kata
Kata kitaratibu
Muziki tunasikilizaga entertainment
Muziki kitambo ilikuaga education
Muziki sai ni kiki kucapture attention
Wengi wanafanya hivo sitamention
Muziki ndo lugha duniani haitakagi mkalimani
Waga full burudani wapata kila mahali
Muziki dikteta hatari wala habebi bunduki
Ila hata serikali kwa muziki washakubali
Eh cheza kama wabambika
Eh usiogope kukatika
We ebu furahia cheka
Imote nishakuletea tiba
Eh cheza kama wabambika
Eh usiogope kukatika
We ebu furahia cheka
Imote nishakuletea tiba
Ah ok sai nataka nikitaja mahali mnasema muziki
Are you ready for this
Nataja mahali mnasema muziki sawa
Sawa
Ok twende
Shuleni
Muziki
Kanisani
Muziki
Manyumbani
Muziki
Na chumbani
Muziki
Shuleni
Muziki
Kanisani
Muziki
Manyumbani
Muziki
Na chumbani
Muziki
Shuleni
Muziki tumekua nayo tangu chekechea yaani tangu utotoni
Kanisani
Muziki ni lazima pale tukisifu Yaweh sifa zifike mbinguni
Manyumbani
Muziki tunasikilizaga hasa dada zetu pale wakifanya kazi
Na Chumbani
Muziki tunawekaga ili kuzimaga nyono wakati wa kuchinja mbuzi
Hehe
Akuna kitu tamu kama ino fani
Ni barafu ya roho sote tukubali
Imekuaga apa kutoka zamani
Yazidi tende haluwa utamu jamani
Na wala haibagui
Mkubwa mdogo
Mwembamba mnono
Mfupi kwa kimo
Hata kama hujui kukata kiuno
We rusha mikono
Banjuka kiovyo
Ah kata
Kata
Kata kitaratibu
Kata
Kata
Kata kitaratibu
Ah kata
Kata
Kata kitaratibu
Kata
Kata
Kata kitaratibu ah
Ningewapa mengi ila manze sai sina time kuna mahali ninawai
Si mbaki fiti manze mi nafungasha virago kuna mahali ninawai
Tusipoonana fiti ni mipango ya maulana waga haipanguliwi
Nishaacha legacy rythm yapiga kwa akili we baki ku memorize
Nawaaga
Nawaaga
Nawaaga si bye bye
Nawaaga
Nawaaga
Nawaaga si bye bye
Nawaaga
Nawaaga
Nawaaga si bye bye
Nawaaga
Nawaaga
Nawaaga si bye bye
Eti mnasema duma ni mkali
Walai sijui nitampata wapi
Tupige na yeye kazi moja safi
Ukitaka kunipata we kuja Nyali
Imote jay manze mi sipendi calls
Mbona nikupe mbana sichati whatsapp
Email na ig ndo mi huchatigi most
Na kaa ni emergency we kuja home hutanikosa

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Written by: Jacob Mwinzi

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Muziki Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Muziki Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 30 Apr. 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/8401002/Imote+Jay/Muziki>.

    Missing lyrics by Imote Jay?

    Know any other songs by Imote Jay? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    Which the Alan Parsons Project member sings their 1982 biggest hit single: "Old and Wise"?
    A Elmer Gantry
    B Colin Blunstone
    C David Paton
    D Eric Woolfson

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Imote Jay tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!