Muziki
Imote Jay
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Kwanza before nianze wacha niji introduce Naitwa imote jay duma mdogo wake chui Acha niwaeleze muziki mi sijaanza juzi Nilianza utotoni enzi za maziwa ya moi Ah we unakumbuka yale maziwa ya moi Yalifanya shuleni tusitoroke Tulikunywa tukalamba hadi vidole Popote ulipo moi mungu akuweke Walolonga walisema muziki dawa Inatibu zaidi ya doctor mganga Mikono juu nione yule anayepinga Enhe nani anayepinga Muziki tamu yaani kuliko vanila Inalewesha kuliko toti za tekila We mwenyewe tayari kichwa unatingisha Ukisikiza vile biti linadunda Basi rusha mikono zungusha kwa hewa peleka kulia kushoto Shaku shaku socco twende zangalewa ukitaka tingisha kiuno Ah kata Kata Kata kitaratibu Kata Kata Kata kitaratibu Ah kata Kata Kata kitaratibu Kata Kata Kata kitaratibu Muziki tunasikilizaga entertainment Muziki kitambo ilikuaga education Muziki sai ni kiki kucapture attention Wengi wanafanya hivo sitamention Muziki ndo lugha duniani haitakagi mkalimani Waga full burudani wapata kila mahali Muziki dikteta hatari wala habebi bunduki Ila hata serikali kwa muziki washakubali Eh cheza kama wabambika Eh usiogope kukatika We ebu furahia cheka Imote nishakuletea tiba Eh cheza kama wabambika Eh usiogope kukatika We ebu furahia cheka Imote nishakuletea tiba Ah ok sai nataka nikitaja mahali mnasema muziki Are you ready for this Nataja mahali mnasema muziki sawa Sawa Ok twende Shuleni Muziki Kanisani Muziki Manyumbani Muziki Na chumbani Muziki Shuleni Muziki Kanisani Muziki Manyumbani Muziki Na chumbani Muziki Shuleni Muziki tumekua nayo tangu chekechea yaani tangu utotoni Kanisani Muziki ni lazima pale tukisifu Yaweh sifa zifike mbinguni Manyumbani Muziki tunasikilizaga hasa dada zetu pale wakifanya kazi Na Chumbani Muziki tunawekaga ili kuzimaga nyono wakati wa kuchinja mbuzi Hehe Akuna kitu tamu kama ino fani Ni barafu ya roho sote tukubali Imekuaga apa kutoka zamani Yazidi tende haluwa utamu jamani Na wala haibagui Mkubwa mdogo Mwembamba mnono Mfupi kwa kimo Hata kama hujui kukata kiuno We rusha mikono Banjuka kiovyo Ah kata Kata Kata kitaratibu Kata Kata Kata kitaratibu Ah kata Kata Kata kitaratibu Kata Kata Kata kitaratibu ah Ningewapa mengi ila manze sai sina time kuna mahali ninawai Si mbaki fiti manze mi nafungasha virago kuna mahali ninawai Tusipoonana fiti ni mipango ya maulana waga haipanguliwi Nishaacha legacy rythm yapiga kwa akili we baki ku memorize Nawaaga Nawaaga Nawaaga si bye bye Nawaaga Nawaaga Nawaaga si bye bye Nawaaga Nawaaga Nawaaga si bye bye Nawaaga Nawaaga Nawaaga si bye bye Eti mnasema duma ni mkali Walai sijui nitampata wapi Tupige na yeye kazi moja safi Ukitaka kunipata we kuja Nyali Imote jay manze mi sipendi calls Mbona nikupe mbana sichati whatsapp Email na ig ndo mi huchatigi most Na kaa ni emergency we kuja home hutanikosa
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Muziki Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 21 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/8401002/Imote+Jay/Muziki>.
Discuss the Muziki Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In