Lyrics.com »

Search results for 'bwana'

Yee yee! We've found 766 lyrics and 5 artists matching bwana.

Year:


Filter by gender:

Lyrics:

wako
Ukanunua kila kabila, kila taifa
Kwa damu yako

Wastahili Bwana
Bwana, Bwana
Wastahili Bwana
Bwana, Bwana

Uliyechinjwa
Uliyeshinda
Ukadhihirisha
Ndugu yangu,
Mungu aliye kupatia ahadi ,
Yeye ni mwaminifu ,
Mara nyingi unaeza ona, Ni kana kwamba amesahau
Lakini mungu hajasahau,
Subiri bwana
hajaumba hicho kipaji
Siyo uumbaji ni we mwenyewe
Siyo uumbaji
Mungu hajaumba hicho kipaji
Siyo uumbaji
Ni we mwenyewe wewe
Bwana mkubwa
Ooh bwana
Bwana
Ooh nananaaa
Bwana wewe ni mwema
Bwana wewe ni mwema
Ooh Bwana
Aah wewe ni mwema
Ooh Bwana wewe

Bwana wewe ni mwema
Bwana wewe ni mwema
Bwana wewe
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
(Heshima na mamlaka ni vyako)
Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana
Tunakurudishia utukufu wako Baba
Ndiyo
Kwa neema ya Bwana kwa neema
Kwa neema ya Bwana kwa neema
Hivi nilivyo mimi ni kwa neema
Wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema ya Bwana
Hivi nilivyo
Hakuna kama wewe  Bwana. Hakuna kama wewe Bwana. [Mana chini ya jua] hakuna kama wewe maishani mwangu.[ Wala hata mbinguni] hakuna kama wewe
Ukaliiii
Is very thafu bwana is very thafu
Situation very critical in malawi that you have to
Focus if you want to reach your goals
Kukupaka mimba
Bwana Ndiye Mchungaji Wangu 5:14
Bwana, Bwana, Bwana ndiye mchungaji wangu
Bwana, Bwana, Bwana ndiye mchungaji wangu
Watesi wajapo inuka sita ogopa
can understand
J-J-J-J-J Johnny
Play me something that I can clap my hands

And he goes
B'wana, B'wana, B'wana, B'wana
B'wana, B'wana, B'wana, B'wana
ni yako
Hakuna jambo usiloliwe loliweza
Kwa nguvu zako Baba tumeshi tumeshinda
Imani yangu ipo kwako we
Wewe Bwana
Nami ntajificha chini yako
Wewe
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana wa ma Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana wa ma Bwana
Uinuliwe Yahweh ee eeh
Uinuliwe Bwana wa ma Bwana
Intro
Ey bwana, ey bwana, ey
Ey bwana, ey bwana, ey
Ey bwana, ey bwana, ey
Ey bwana, ey bwana, ey
Ey bwana, ey bwana, ey
Ey bwana, ey bwana, ey
Ey
Afadhali kungoja
Kumngoja bwana
Subiri, subiri bwana
Afadhali kungoja
Kumngoja bwana
Subiri, subiri bwana

Usichukue njia ya mkato
Usipotoshe
Natamani waone Bwana unavyo nibariki. 
Natamani waone Bwana unavyo nibariki. 
natamani waone Bwana unavyo niinua. 
Natamani waone Bwana unavyo
Pokea sifa Bwana
Pokea sifa Bwana
Maana wewe ni Mungu wetu
Wewe ndiwe muweza wa yote
Maana wewe ni Mungu wetu
Wewe ndiwe muweza wa yote
Eeeeeh Bwana
Mmmmh
Bwana
Oooh
Lord I know
Umeahidi ni mwaka wangu
Baraka teletele zi kwa njia yangu
Kuna neema juu yangu
And I know
Unanena mema juu yangu
Oh Bwana, oh Bwana
Oh Bwana, oh Bwana
You captivate me
With all of the blessings you send my way
You're amazing and
I am so taken
By what you do I am
kwamba Yesu ni bwana wa
Mabwana
Nakiri kwamba Yesu ni Bwana, ooh
My friend acknowledge him for all he has done for you
Nakiri kwamba Yesu ni Bwana, ooh
cmen
Hallelujah
cmen
Hallelujah 
cmen
Hallelujah 
cmen
Hallelujah 
cmen
Hallelujah Yeah

Nakiri kwamba Yesu ni bwana wa mabwana
Nakiri kwamba Yesu ni
Wale ulowachagua nami nione
Wale ulowaita nami niite
Wimbo wa kushukuru nami niimbe
Niseme ameniona Bwana
Nimechoka kulia lia
Kila siku wa kutukanwa
Ukaniokoa kwa wako mwana

Wewe ni ngome yangu Bwana
Wewe ni nguvu yangu
Wewe ni nguzo yangu Bwana
Yahweh Yahweh ndilo jina lako
Bwana Yesu ndilo jina lako
Anza na mimi bwana
Anza na mm yesu
Ili ninapo kushuhudia
Wakuamini bwana
Anza na mm Bwana
Anza na mm Yesu
Ili ninapo kushuhudia
Wakuamini bwana
Nakutafuta Bwana nakutafuta Bwana
Usikae mbali nami nakutamani sana
Nakutafuta Bwana nakutafuta Bwana
Usikae mbali nami nakutamani sana
Kama vile

Discuss these bwana Lyrics with the community:

0 Comments

    We need you!

    Help build the largest human-edited lyrics collection on the web!

    Search for song lyrics by

    Genres »

    Styles »

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    Which Irish rock band sang The Boys Are Back In Town?
    A Led Zeppelin
    B Thin Lizzy
    C Slade
    D Black Start Riders

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!